POROJO HAZIJENGI, KIMATAIFA VITENDO ZAIDI KWA MKAPA
KIKOMBE wanachokutana nacho wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya kimataifa ni cha moto ni muhimu kukishika kwa tahadhari na sio porojo. Kwa Yanga ambao Jumapili watacheza dhidi ya TP Mazembe na Simba ambao watacheza dhidi ya Raja Casablanca wote wapo kwenye eneo gumu na wasipofanya maandalizi mazuri itakuwa ngumu kwao kupenya. Nafasi za kushinda ni…