MATOKEO KIDATO CHA SITA 2022 HAYA HAPA

Unguja. Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha sita na kusema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87. Akitangaza matokeo hayo visiwani Zanzibar leo Kaimu Katibu wa Baraza Hilo, Athuman Amas amesema mwaka huu idadi ya ufaulu ni asilimia 99.87 ikilinganishwa na asilimia 99.62 ya mwaka jana….

Read More

CHAGUA NAMBA, RUSHA KETE NA UJIPATIE MSHIKO WA KUTOSHA KUTOKA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Sloti Ya Titan Dice Anza wiki yako ukicheza mchezo wa Titan Dice kwa kujikusanyia mkwanja wa kutosha na kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Wiki yako itakuwa bomba kwa kuchangamkia bonasi na ushindi mkubwa kupitia Meridianbet. Michezo ya Dice (kete) imekuwepo kwa muda mrefu. Kihistoria, mchezo huu ulianzia China. Waandaaji wa kisasa, Expanse Studios wametengeneza Titan…

Read More

KARIBU KWENYE FAMILIA YA KIBINGWA YA MERIDIANBET UFURAHIE SLOTI YA BURSTING HOT 5

Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea sloti ya kijanja ya Bursting Hot 5 kiganjani mwako sasa! Bursting Hot 5 ni mchezo unaotumia matunda kama zile sloti za kizamani ila imeboreshwa zaidi! Sifa mpya zilizoongezwa zinakuhakikishia ushindi mkubwa zaidi. Namna ya Kucheza Mchezo wa Bursting Hot 5   Ukiingia kwenye sehemu ya Kasino ya Mtandaoni ya…

Read More

SIKU YA MALARIA DUNIANI IMEWAKUTANISHA MERIDIANBET NA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA AMANA

Katika kuadhimisha siku ya Malaria Duniani kwa mwaka 2022, kampuni ya michezo ya kubashiri, Meridianbet, imeungana na watanzania na dunia kwa ujumla katika kuongeza nguvu kwenye mapambano makali dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Ugonjwa wa Malaria unaripotiwa kuwa chanzo cha vifo vya watoto (hasa wenye umri chini ya miaka 5) na hivyo kwa sehemu kubwa,…

Read More

Marioo – YANGA Tamu (Official Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Marioo ametangaza rasmi kuwa shabiki wa Yanga. Utakumbuka Marioo alikuwa Simba na mara kadhaa alikuwa akishiriki katika matamasha ya Simba. Marioo amesema kuwa sababu kubwa ya kuhama Simba na kujiunga na Yanga kwa sababu hapendi mawazo (Stress). “Sasa nipo rasmi Yanga, zamani nilikuwa nashabikia timu ile nyingine. Mimi sipendi…

Read More

AVIATOR YA MERIDIANBET: KIBOKO YA MICHEZO BOMBA YA KASINO!

Huhitaji kuwa ‘serious’ sana unapovinjari viunga vya kasino ya mtandaoni ya Meridianbet. Ushindi unaenda sambamba na burudani. Mchezo wa Aviator, ni mchezo rahisi unaokupa nafasi kubwa ya ushindi na kukuhakikishia burudani mwanzo mpaka mwisho.   Mchezo huu ni kama kuwepo mawindoni hivi, unamuwinda mnyama unayempenda sana na hauwezi kulala bila kumpata. Lakini, unafurahia windo lako…

Read More

SNURA AZINDUA EP YAKE, AMZUNGUMZIA SHILOLE

  MALKIA wa Muziki wa Singeli Snura Mushi a.k.a Snura Majanga ameweka wazi kuwa bado hatamani wala kufikiria kumshirikisha Msanii mwenzake wa bongofleva Shilole.   Akizungumza mara baada ya kutambulisha rasmi EP yake ambayo imebeba takribani nyimbo 5 ikiwemo Jini,naota,Kaliamsha, pamoja na Zaina Huku akisindikiza na Kaliamsha yenye maadhi ya Mtindo wa kisasa “Amapiano”. Hata hivyo Snura amefafanua…

Read More

STAMINA AACHIA ALBAM YAKE YA PILI

MSANII wa muziki wa kizazi kipya Bongo, Boniventure Kabogo (Stamina), ameachia album yake ya pili aliyoipa jina la Paradiso ambayo ina mkusanyiko wa jumla ya nyimbo 13. Wasanii alioshirikiana nao katika albamu hiyo ambayo imezinduliwa kupitia jukwaa la Boomplay, ni pamoja na Bele 9, Aslay, Linah, Walter Chilambo, Saraphina, Isha Mashauzi, Barakah The Prince na…

Read More