
BALAA LA DATA ZA SOPU STARS HILI HAPA
MCHEZO wa kwanza walipokutana aliwafunga ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Somalia 0-1 Tanzania walipokutana mara ya pili akawafunga tena. Anaitwa Abdul Suleiman,’Sopu’ kiungo mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Star ambaye anafanya kazi ngumu kuwa nyepesi. Alihusika kwenye mabao mawili wakati Stars ikishinda 2-1 Somalia kwenye mchezo wa pili,Uwanja wa Mkapa ambapo alifunga…