
VIDEO:PACHA WA MAYELE AFUNGUKIA KUFUATWA NA VIONGOZI SIMBA
PACHA wa Fiston Mayele, mshambuliaji wa Yanga amebainisha namna ambavyo amefuatwa na viongozi wa Simba pamoja na kuzungumzia mafanikio ya Mayele
PACHA wa Fiston Mayele, mshambuliaji wa Yanga amebainisha namna ambavyo amefuatwa na viongozi wa Simba pamoja na kuzungumzia mafanikio ya Mayele
KIKOSI cha Simba kitakuwa nchini Sudan kwa ajili michezo ya kimataifa ya kirafiki wakiwa wamealikwa kwenye michuano midogo iliyoandaliwa na Klabu ya Al Hilal. Mechi tatu za kimataifa Simba inayonolewa na Kocha Mkuu itacheza wakati huu ligi ikiwa imesisimama kwa ajili ya mashindano ya CHAN, Zoran Maki akisaidiana na msaidizi mzawa Seleman Matola ni miongoni…
Sloti ya Forest Rock Je, unajua kuwa wanyama pori wanaweza kukuletea ushindi? Ndio! Kupitia Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet yote hayo yanawezekana. Meridianbet inakuletea sloti mpya yenye maudhui ya Rock ‘n’ Roll iliyotengenezwa na watengenezaji maarufu wa sloti- Expanse Studio iitwayo Forest Rock. Sloti ya Forest Rock ina muundo wa kizamani wenye kolamu…
KIUNGO wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Abdul Suleiman, ‘Sopu’ yupo chini ya uangalizi wa madaktari ili kuweza kurejea kwenye ubora wake. Kiungo huyo ni mali ya Azam FC alipata maumivu akiwa na timu yake ya Azam baada ya kurejea kutoka Misri walipokuwa wameweka kambi. Kiungo huyo ni miongoni mwa nyota walioitwa na…
USHINDI wa mabao 5-1 dhidi ya AS Kigali umewapa nafasi Simba Queens kutinga hatua ya Fainali Ligi ya Wanawake Afrika Ukanda wa CECAFA. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex timu zote zilikuwa zinasaka ushindi ili kuweza kupata matokeo na kuweza kusonga mbele. Shukrni kwa mabao ya Vivian Carozone aliyefunga mawili, Opah Clement alitupia…
NYOTA wa zamani wa Yanga, Said Ntibanzokiza anatajwa kumalizana na Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Nyota huyo ambaye alijenga pacha matata na Fiston Mayele alisepa ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu wa 2021/22 baada ya kandarasi yake kugota ukingoni. Ni dili la miaka miwili anatajwa kupewa nyota huyo ambaye ni…
UONGOZI wa Geita Gold umeweka wazi kuwa makubaliano ya kuachana na wachezaji wao yamezingatia utaratibu kwa kuwa wanaheshimu mikataba ya wachezaji wao. Timu hiyo imetangaza kuachana na wachezaji saba na kufikisha idadi ya wachezaji 9 ambao wameondoka katika kikosi hicho. Wachezaji ambao hawatakuwa ndani ya Geita Gold ni pamoja na Maka Edward, Ramadhan Athuman Teleza, Pius…
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amebainisha kuwa mchezaji Cesar Manzoki ni moja ya wachezaji wazuri huku akibainisha kuwa mpango wa kuweza kumsajili kwa sasa haupo labda kwa timu nyingine ambayo inahitaji saini yake
BAADA ya kuongoza kikosi cha Simba kwenye mechi mbili za ligi na kushinda zote, Zoran Maki, Kocha Mkuu wa Simba anatarajiwa kukiongoza kikosi hicho kwenye mechi za kimataifa za kirafiki ambapo wanatarajia kucheza na Asante Kotoko ya Ghana. Ni kwenye mashindan maalumu ambayo Simba wamealikwa yanatarajiwa kufanyika nchini Sudan wakialikwa na Klabu ya Al Hilal….
KIKOSI cha Azam FC kinatarajia kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya mabingwa wa Djibout, AS Arta Solar 7, mechi itakayochezwa Uwanja wa Azam Complex Agosti 30 mwaka huu saa 1.00 usiku. Timu hiyo imesajili nyota wa zamani waliowika kwenye Ligi Kuu England, Alex Song na Solomon Kalou. Azam FC ilifanya maandalizi yake nchini…
ZORAN Maki, Kocha Mkuu wa Simba ametaja sababu za nahodha wa timu hiyo John Bocco kutocheza mechi za hivi karibuni za Ligi Kuu Bara
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amewaombea ulinzi wachezaji wake ikiwa ni pamoja na Aziz KI, Bernard Morrison, Fiston Mayele wawapo uwanjani. Pia Nabi amesema kuwa ni muhimu kwa wachezaji wote kwenye ligi kulindwa.
TEPSI Evance, kiungo wa Klabu ya Azam FC amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars ambacho kimeanza maandalizi kwa ajili ya mchezo dhidi ya Uganda wa kuwania kufuzu CHAN unaotarajiwa kuchezwa Agosti 28,2022. Nyota huyo kwenye mechi mbili za ligi amefunga mabao mawili na kutoa pasi moja ya bao. Stars imeingia…
MANCHESTER United imesepa na pointi tatu mazima mbele ya Liverpool kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Uwanja wa Old Traford. Mabao ya Jadon Sancho dakika ya 16 na Marcus Rashford yalitosha kuipa pointi tatu muhimu timu hiyo. Bao la Liverpool lilifungwa na Mohamed Salah dakika ya 81. Rekodi zinaonyesha kuwa United ilipiga jumla ya…
KUCHANGAMKA kwa mzunguko wa kwanza na wa pili kwenye ligi kumetokana na maandalizi mazuri ambayo yalifanywa na timu husika hilo halipingiki. Kwa timu ambazo zilikwama kupata matokeo hapo kuna sehemu ya kuangalia namna ya kuweza kuboresha na kuwa bora wakati ujao. Katika mechi za mzunguko wa kwanza na wa pili inaonekana kwamba wachezaji wanatumia nguvu…
FRANCIS Baraza, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amebainisha wazi kuwa makosa ambayo wameyafanya kwenye mechi mbili mfululizo watayafanyia kazi ili waweze kurejea wakiwa imara. Timu hiyo kwenye mechi mbili za ligi msimu wa 2022/23 imeyeyusha pointi sita mazima kwa kuwa ilifungwa kwenye mechi hizo. Ilianza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC, Uwanja wa…
SHABIKI wa Simba maarufu kwa jina la Issa Azam amebainisha kuwa Yanga wanajidanya kuhusu usajili wa nyota Manzoki kwa kuwa atajiunga na Simba