
VIDEO: MASTAA WATATU SIMBA KUIKOSA DODOMA JIJI
MASTAA watatu wa Simba kesho wanatarajia kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Dodoma Jiji unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa kwa mujibu wa Kocha Msaidizi wa Simba, Seleman Matola ameweka wazi kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo huo licha ya hao wachezaji kukosekana