
HUU HAPA MTAMBO WA MABAO AZAM FC
MZAWA Ayoub Lyanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC ni mtambo wa mabao kutokana na kuhusika kwenye mabao mengi zaidi. Lyanga ameanza kikosi cha kwanza kwenye mechi 15 akifunga mabao manne na ametoa pasi 7 za mabao moja kati ya hizo alitoa kwenye mchezo dhidi ya Yanga, Uwanja wa Mkapa. Nyota huyo kahusika kwenye…