Saleh
NABI REKODI ZAKE KAMA ZOTE YANGA
NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga alitambulishwa ndani ya kikosi hicho ilikuwa ni Aprili 20 na alianza kazi yake ya kwanza katika mchezo wa...
MANCHESTER UNITED YAPIGWA 5 G
MOHAMED Salah Mwafrika ambaye anawatesa Wazungu ndani ya Ligi Kuu England pamoja na mashindano mengine kwa sasa yeye ni wakucheka na minyavu tu ameongoza...
HAJI MANARA ATUMA DONGO KIMTINDO SIMBA
BAADA ya kikosi cha Simba kufungashiwa virago leo kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika wakiwa Uwanja wa Mkapa kwa kufungwa mabao 3-1 Haji Manara alaiyekuwa...
SIMBA YATUPWA NJE LIGI YA MABINGWA AFRIKA
TIMU ya Simba imetolewa rasmi kwenye michuano ya Ligi Mabingwa Afrika baada ya kufungwa Jwaneng Galaxy kwa mabao 3-1, mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa...
SIMBA YAPEWA ONYO NA YANGA KIMATAIFA
KOCHA wa Yanga Princes Mohamed Hussein, ‘Mmachinga’ amewapa onyo Simba kuelekea mchezo wao wa leo Oktoba 24 dhidi ya Jwaneng Galax kwa kuwataka kucheza...
AZAM FC YAMALIZWA KIMKAKATI NA YANGA
MABOSI wa Yanga wamebainisha kwamba mkakati wa kuimaliza Azam FC ulishachorwa Songea kwa kuwa walipata muda wa kuitazama timu hiyo ilipocheza mchezo wake wa...
AKILI KUBWA KUIMALIZA JWANENG GALAXY KWA MKAPA
BENCHI la ufundi la Simba limebainisha kuwa kazi bado inaendelea kuelekea kwenye mchezo wao wa marudio dhidi ya Jwaneng Galaxy unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa...
NDAYIRAGIJE AFUNGASHIWA VIRAGO GEITA GOLD
ETIENNE Ndayiragije anakuwa kocha wa kwanza kuchimbishwa ndani ya Ligi Kuu Bara msimu wa 2021/22 ambapo alikuwa ni Kocha Mkuu wa Geita Gold.
Taarifa iliyotolewa...
PACHA YA BANGALA,JOB NA DJUMA YAJIBU YANGA
PACHA ya nyota watatu ambao ni mabeki ndani ya kikosi cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi imejibu baada ya kuweza kucheza kwenye...
BOCCO AWEKA REKODI,KIBU MAJANGA MATUPU
WAKIWA kwenye maandalizi ya mwisho kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Jwaneng Galaxy ya Botswana unaotarajiwa kuchezwa leo Uwanja wa...
SALAH AGOMA KUSEPA LIVERPOOL
STAA wa Liverpool raia wa Misri, Mohamed Salah ameweka wazi kuwa kwa sasa hafikirii kuondoka ndani ya Liverpool na badala yake anahitaji kumaliza soka...
KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA JWANENG GALAX
OKTOBA 24 leo kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Didier Gomes kinatarajiwa kuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Mkapa dhidi...
AZAM FC SAFARI YAO KIMATAIFA YAKWAMIA MISRI
KUPOTEZA kwa Azam FC ambao ni wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho usiku wa kuamkia leo na Pyramids kumewafungashia virago mazima.
Safari ya Azam...
RONALDO APIGA MKWARA MZITO
STAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo ametembeza mkwara mzito kwa kubainisha kwamba atawafunga mdomo wale wanaoikosoa timu hiyo kwa sasa.
Ronaldo ambaye ni ingizo jipya...
CHELSEA WATEMBEZA 7 G HUKO BILA LUKAKU
UWANJA wa Stamford Bridge leo Oktoba 23 umekusanya jumla ya mabao 7 ambayo yamefungwa na Chelsea wakiikandamiza Norwich City katika mchezo wa Ligi Kuu...
SIMBA WAPO TAYARI KIMATAIFA
HITIMANA Thiery, Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Jwaneng Galax ambao unatarajiwa kuchezwa Uwanja...
KMC WAGAWANA POINTI MOJAMOJA NA NAMUNGO,ILULU
WAKIWA Uwanja wa Ilulu, leo Oktoba 23 Wanakinoboys wamegawana pointi mojamoja na Namungo FC kwa kufungana bao 1-1.
Kwa upande wa KMC ni mshambuliaji wao...