Tuesday, April 23, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7676 POSTS 0 COMMENTS

AZAM FC KAMBI IMEPAMBA MOTO,KESHO KUSEPA

0
ABDIHAMID Moallin, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa wanatarajia kucheza mechi nyingi za kirafiki nchini Misri ambapo wataweka kambi kwa ajili ya maandalizi...

AZIZ KI APEWA MTAALAM YANGA,ZORAN AKABIDHIWA RUNGU SIMBA

0
AZIZ KI apewa mtaalam Yanga,Zoran akabidhiwa rungu zito Simba

SAKHO BAO LAKE LAINGIA TATU BORA CAF

0
KIUNGO wa Simba Pape Sakho bao lake limeingia kwenye tatu bora kwa wale ambao wanaowania tuzo ya bao bora la CAF msimu wa 2021/22.  Kwa hatua...

SAUTI:MUKOKO TONOMBE TENA ATAJWA YANGA

0
MUKOKO Tonombe kiungo wa zamani wa Yanga anatajwa kurejea kwa mara nyingine kwenye ardhi ya Tanzania

UWANJA WA SINGIDA NI LITI,KAMBI ARUSHA

0
SINGIDA Big Stars kwa msimu wa 2022/23 imeweka kambi yake Arusha ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya unaotarajiwa kuanza Agosti. Timu hiyo kwa sasa inaendelea...

GEORGE MPOLE YUPO SANA GEITA GOLD

0
 GEORGE Mpole mtupiaji namba moja ndani ya ligi msimu wa 2021/22 baada ya kufunga mabao 17 huenda akasalia ndani ya Geita Gold. Awali alikuwa anatajwa...

PAPE AWAOMBA MASHABIKI WAZIDI KUMPIGIA KURA

0
KIUNGO wa Simba, Pape Sakho amewaomba mashabiki na kila mmoja kuendelea na zoezi la kumpigia kura kwenye kipengele ambacho amechaguliwa kuwania tuzo ya bao...

AZAM FC YAFUNGA USAJILI NA BEKI WA KAZI

0
 UONGOZI wa Azam FC umefunga usajili wao kwa kumtambulisha beki wa kati wa kimataifa raia Senegal, Malickou Ndoye, akitokea Teungueth FC ya huko. Taarifa iliyotolewa...

AIR MANULA NI MNYAMA MPAKA 2025

0
 KIPA namba moja ndani ya kikosi cha Simba, Aishi Manula ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuweza kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo. Awali nyota huyo...

SAUTI:SIMBA KUFUNGA USAJILI NA MASTAA HAWA WATATU

0
IKIWA imeweka kambini nchini Misri kwa ajili ya maanalizi ya msimu wa 2022/23 Simba inatarajiwa kufunga usajili wake na mastaa watatu

VIDEO:AISHI MANULA AWEKA WAZI MIPANGO

0
AISHI Manula kipa namba moja wa Timu ya Taifa ya Tanzania,Taifa Stars ameweka wazi kuwa kwa namna ambavyo wanajifunza wanazidi kuimarika kuelekea mechi ya...

VIDEO:YANGA YAFUNGUKIA ISHU YA KAMBI

0
UONGOZI wa Yanga umebainisha sababu ya kambi kuwekwa Dar pamoja na mipango ya Wiki ya Mwananchi

YANGA YAIFUNIKA VIBAYA SIMBA BONGO

0
 YANGA yaifunika vibaya Simba Bongo ndani ya Championi Jumatano

WIKI YA MWANANCHI KUANZA AGOSTI MOSI

0
WIKI ya Mwananchi itaanza rasmi Agosti Mosi mwaka huu wa 2022 ambapo wanatarajia kucheza mchezo na timu ya kimataifa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa...

AZAM FC KAMBI YAANZA RASMI

0
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa leo itakuwa ni siku rasmi ya mastaa wao kuweza kuanza kambi ya ndani kwa maandalizi ya msimu...

VIDEO:OSCAR OSCAR AWACHAMBUA BANGALA/OKRAA

0
MCHAMBUZI Oscar Oscar amewachambua mastaa wa Simba na Yanga ikiwa ni pamoja na Yannick Bangala,Augustino Okra

SAUTI:YANGA V SIMBA NI NOMA VIKOSI VYAO

0
KUELEKEA Simba v Yanga itakuwa ni noma kutokana na vikosi kuwa imara kwa timu zote msimu wa 2022/23