Saleh

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA DHIDI YA JWANENG

SIMBA ina kibarua cha kusaka pointi tatu ugenini dhidi ya Jwaneng Galaxy ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Hiki hapa kikosi cha Simba kitakachoanza namna hii:- Ayoub Lakred Shomari Kapombe Mohamed Hussein Henock Inonga Che Malone Ngoma Kibu Dennis Sadio Kanoute Jean Baleke Saido Ntibanzokiza Willy Onana

Read More

AMEIBUKA CLATOUS CHAMA NA TAMKO HILI

MWAMBA wa Lusaka Clatous Chama ambaye ni kiungo aliyefunga mabao mawili kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ugenini ameweka wazi kuwa matokeo ya mchezo uliopita dhidi ya ASEC Mimosas wamesahau hivyo watapambana kwa ajili ya upata matokeo dhidi ya Jwaneng

Read More

UWANJA WA LITI WAFUNGIKWA

KAMATI ya Leseni za Klabu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeufungia Uwanja wa Liti, uliopo Singida. Uwanja huo ambao unatumiwa na Singida Fountain Gate kwa mechi za nyumbani kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara sasa hautatumika kwa michezo ya ligi kwa kukosa vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa…

Read More

DESEMBA INAFUNGULIWA KWA KAZI KIMATAIFA

GHAFLA yule uliyempa ahadi utamlipa Desemba, ngoma hii hapa imeshafika kazi kukamilisha madeni kwa wakati. Weka kando hilo, kwa wawakilishi wa kimataifa kuna shughuli nzito kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika. Madeni yote waliyoahidi kuyalipa leo Desemba 2 kwa nyakati tofauti kila mmoja atakuwa na dakika 90 za kulipa mmoja atakuwa nyumbani na mwingine huko ugenini…

Read More

WANAOKIMBIZA KWA PASI ZA MWISHO BONGO

KUNA rekodi zinaendelea kuandikwa ndani ya Ligi Kuu Bara ikiwa ni kwenye upande wa wakali wa kutupia mabao na wale wakali wa kutengeneza pasi za mabao. Hapa ni baadhi ya wakali wa kucheka na nyavu kwenye mechi za Ligi Kuu Bara huku wakali kutoka Yanga wao wote walipata nafasi ya kuwakimbiza watano wao wa jadi…

Read More

KAZI KIMATAIFA LEO HAKUNA MWENYE SHUGHULI NDOGO

HATIMAYE imefika siku ambayo ilikuwa inasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki pamoja na benchi la ufundi kuona kipi kitapatikana ndani ya dakika 90. Ligi ya Mabingwa Afrika, mashindano yenye ushindani mkubwa yanatarajiwa kuendelea leo na wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga watakuwa kazini. Yanga watakuwa nyumbani Uwanja wa Mkapa huku Simba wakiwa ugenini, Botswana wote…

Read More

AZAM FC YAFUNGA NOVEMBA KIBABE

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wamefunga Novemba kibabe kwa kukomba pointi zote tisa walizokuwa wanazisaka katika mechi tatu za Ligi Kuu Bara. Kwenye mechi hizo tatu Azam FC mbili ilicheza ugenini ilikuwa Mashujaa 0-3 Azam FC Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma, Ihefu 1-3 Azam FC Uwanja wa Highland Estate. Kigongo cha kukamilisha hesabu ya tatu…

Read More

KASINO YA SHAOLIN CREW USHINDI ZAIDI YA X5000

Taifa la Uchina limebebwa na historia kubwa sana, wengi wanaijua ile Movie inaitwa Shaolin Soccer ilikuwa balaa sana, jamaa walikuwa wanaupiga mpira ile mbaya lakini kuna mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni unaitwa Shaolin Crew ni balaa kwenye kutoa washindi na Maokoto ya kutosha. Shaolin Crew ni sloti mpya ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE KUKIWASHA NA WAJEDA

HELO Desemba Mosi Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea kutimua vumbi ambapo leo Desemba Mosi, Uwanja wa Liti dakika 90 za jasho zinatarajiwa kuwa kwa wababe watakaokuwa wakisaka pointi tatu. Singida Fountan Gate iliyotoka kushinda mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union itakabiliana na Wajeda, JKT Tanzania kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza. Hussein Masanza, Ofisa Habari…

Read More

YANGA: BURUDANI INAREJEA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa burudani inarejea mahali pake baada ya kukosekana kwa muda ndani ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Desemba 2 2023 Yanga inatarajiwa kushuka Uwanja wa Mkapa kumenyana na Waarabu wa Misri, Al Ahly ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Ali Kamwe, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga amesema…

Read More

RAIS YANGA MWENYEKITI WA CHAMA CHA VILABU AFRIKA

NI Rais wa Yanga SC, Hersi Said amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Chama cha Vilabu barani Afrika (African Clubs Association – ACA), katika uchaguzi uliofanyika leo nchini Misri. Hersi atasaidiwa na makamu wenyeviti wawili ambao ni Jessica Motaung wa Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na Paul Bassey kutoka Akwa United ya Nigeria. Kila la…

Read More