
MIAMBA HAWA KATIKA RADA ZA SIMBA
KWA nyakati tofauti miamba wawili eneo la ushambuliaji Adam Adam na Relliat Lusajo walikuwa katika rada za Simba lakini mipango ikagoma. Adam aliibukia ndani ya Mashujaa na Lusajo alibaki Namungu kisha dirisha dogo ni mali ya Mashujaa. Ikumbukwe kwamba Lusajo alipokuwa Namungo aliwahi kuwatungua Simba mzunguko wa kwanza katika Ligi Kuu Bara Uwanja wa Uhuru…