Friday, May 17, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7858 POSTS 0 COMMENTS

MAN U YASEPA NA POINTI TATU KUBWA

0
MANCHESTER United inayonolewa na Kocha Mkuu, Ten Hag imesepa na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Aston Villa. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Old Trafford...

KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA RIVERS UNITED

0
KIKOSI cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Rivers United Kombe la Shirikisho Afrika hatua ya robo fainali,Uwanja wa Mkapa Djigui Diarra Dickson Job Kibwana Shomari Mwamnyeto Bakari Bacca Ibrahim Aucho Khalid Sure...

SIMBA NDANI YA DAR,KAMILI KWA MECHI MKONONI

0
BAADA ya kugotea hatua ya robo fainali msafara wa kikosi cha Simba umewasili salama Dar, leo Aprili 30,2023. Kikosi cha Simba chini ya Kocha Mkuu,...

YANGA YATAMBA KUMALIZA KAZI KWA MKAPA

0
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika mchezo wa ugenini wataumaliza kwa mpango mkubwa ili kazi ya kutinga hatua ya...

MWAMBA WA KAZI NDANI YA SIMBA KAPOMBE HUYU HAPA

0
MWAMBA huyu hapa ndani ya kikosi cha Simba uhakika kikosi cha kwanza kutokana na uwezo wa kupandisha mashambulizi na ana uwezo wa kufunga. Mechi 21...

AZAM FC KUSUKA KIKOSI CHA KAZI KUIMALIZA SIMBA

0
KALI Ongala, Kocha Mkuu wa Azam FC amesema kuwa watapata muda wa kuunda mpango kazi kwa ajili ya kupata matokeo kwenye mechi ijayo dhidi...

KMC YAPIGA HESABU HIZI HAPA

0
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa mechi tatu ambazo zimebaki wanahitaji matokeo ya ushindi kufanikisha malengo ya kubaki ndani ya Ligi Kuu Bara. Timu hiyo...

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
Muonekano wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili

MASTAA HAWA SIMBA WAPENYA KUWANIA TUZO

0
KIPA namba tatu wa Simba, Ally Salim ameingia kwenye mchakato wa kuwania tuzo ya mchezàji Bora wa mashabiki Kwa mwezi Aprili. Hiyo ni tuzo maalumu...

IJUE SABABU YA MABAO 10 YA SIMBA KUWEKWA BENCHI

0
BENCHI la ufundi la Simba limeweka wazi kuwa sababu ya mtambo wao wa mabao Moses Phiri kujenga ushikaji na benchi ni kutokuwa fiti asilimia...

NAMNA KAZI ILIVYOGOTA MWISHO KWA SIMBA MBELE YA WAARABU

0
KAZI ya wawakilishi wa Tanzania Simba kwenye hatua ya Ligi ya Mabingwa Afrika imegotea mwisho dhidi ya Wydad Casablanca hatua ya roo fainali baada...

YANGA GEREZANI WAWAITA MASHABIKI KWA MKAPA

0
MWENYEKITI wa Tawi la Yanga, Gerezani, Kariakoo, Hassan Sasama amesema kuwa mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi Uwanja wa Mkapa kulipa kisasi mbele ya...

HAITAKUWA MWISHO MPAKA IGOTE MWISHO

0
HAITAKUWA mwisho mpaka ifike mwisho kwenye mashindano yote ambayo timu zinashiriki iwe ni kwenye ligi ama Kombe la Shirikisho. Ipo wazi kwamba bingwa mtetezi wa...

HIKI NDICHO WAMEFANYA MASTAA WA SIMBA DHIDI YA WAARABU

0
SIMBA imeondolewa hatua ya robo fainali kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kukubali kufungwa bao 1-0 ugenini na kufanya matokeo ya...

HAYA NJOONI MJIFUNZE KWETU, SIMBA WAACHA GUMZO MOROCCO

0
HAYA njooni mjifunze kwetu, Simba waacha gumzo Morocco ndani ya Championi Jumamosi

SIMBA YAFUNGASHIWA VIRAGO LIGI YA MABINGWA AFRIKA

0
NGOMA imegota mwisho kwa wawakilishi wa Tanzania Simba katika Ligi ya Mabingwa Afrika kwa kuondolewa na mabingwa watetezi wa taji hilo Wydad. Baada ya dakika...

WYDAD 1-0 SIMBA

0
UBAO wa Uwanja wa Mohamed V unasoma Wydad 1-0 Simba. Safu ya ulinzi ya Simba imekwama kuwazuia Wydad Casablanca kwa kusababisha kosa la kona ambalo...