
ANASEPA NDANI YA SIMBA MWAMBA BENCHIKHA? SABABU HIZI
INATAJWA kwamba Kocha Mkuu wa Simba, Abdelhak Benchikha huenda akasepa ndani ya timu hiyo kutokana na mwendo ambao upo kwa kushindwa kupata matokeo kwenye mechi za ushindani ambazo wanacheza hivi karibuni.