Friday, April 19, 2024
Home Authors Posts by Saleh

Saleh

7649 POSTS 0 COMMENTS

CHELSEA WANALIPA MSHAHARA MKUBWA ILA TABU TUPU

0
CHELSEA wanapita kwenye kipindi kigumu huku wakiwa wanalipa mshahara mkubwa wachezaji wao. Hadi sasa wameondolewa kwenye mashindano yote mawili ya vikombe vya nyumbani. WANALIPA MISHAHARA MIKUBWA Chelsea...

ZAWADI YA PASAKA KUTOLEWA LEO NAMNA HII

0
ZAWADI ya Pasaka kwa Wanaruagwa inatarajiwa kutolewa saa 3:00 usiku Uwanja wa Majaliwa. Msako wa pointi tatu kati ya Namungo dhidi ya Mbeya City hatma...

VIDEO:MAKAPU AFUNGUKIA ISHU YA UGALI NA SUKARI FEI TOTO

0
MAKAPU afungukia ishu ya ugali na sukari Fei Toto

SIMBA NDANI YA MBEYA KUIKABILI IHEFU

0
KIKOSI cha Simba kimewasili Mbeya kwa ajili ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ihefu. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Highland Estate Mbeya...

KMC KUPEWA LAKI TANO NA MERIDIANBET KWA KILA GOLI WATALOFUNGA LIGI...

0
Mdhamini Mkuu wa KMC FC inayoshiriki Ligi kuu ya NBC, Meridianbet Tanzania wameahidi kutoa Tsh 500,000/= kwa kila goli ambalo klabu hiyo itapata katika...

MUONEKANO WA UKURASA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA JUMAPILI

0
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Jumapili

YANGA HAO NUSU FAINALI KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION

0
YANGA imetinga hatua ya nusu fainali ya Azam Sports Federation kwa ushindi dhidi ya Geita Gold. Dakika 90 zimekamilika ubao unasoma Yanga 1-0 Geita Gold...

UNITED YASEPA NA POINTI ZA EVERTON

0
MANCHESTER United wamekomba poiñti zote tatu dhidi ya Everton katika mchezo wa Ligi Kuu England. Dakika ya 36 Scott MC Tominay alipachika bao la kwanza...

YANGA 0-0 GEITA GOLD

0
UBAO wa Uwanja wa Azam Complex mchezo wa hatua ya robo fainali Kombe la Azam Sports Federation ngoma ni nzito. Hakuna mbabe ambaye amepata bao...

YANGA YAPIGA HESABU ZA KUFANYA KWELI KIMATAIFA

0
UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa kwenye hatua ya robo fainali watafanya kweli kama ilivyokuwa katika hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika. Imemaliza mwendo...

VIDEO:SIMBA KUPANGWA NA WAYDAD JEMBE AFICHUA

0
SIMBA kupangwa na Waydad jembe afichua namna ambavyo mpira wa Tanzania umekuwa na kuwapongeza viongozi wa Yanga na Simba

POLISI TANZANIA MAJANGA TUPU

0
HAKUKUWA na usalama mkubwa kwa Polisi Tanzania walipokuwa ndani ya Uwanja wa Liti baada ya kuacha poiti zote tatu. Ni majanga matupu kwa Polisi Tanzania...

AZAM FC YASEPA NA POINTI ZA MTIBWA SUGAR

0
AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mabao ya Issah Ndala dakika ya...

SINGIDA BIG STARS WAO YANGA AMA GEITA HAINA TATIZO

0
BAADA ya kufanikiwa kukata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation Kocha Mkuu wa Singida Big Stars Hans Pluijm amesema kuwa...

KWA NYUNDO HIZI 5 RIVERS WAMELALA YOO

0
KWA nyundo hizi 5 Rivers wamelala Yoo, Mbrazil Simba awatega Waarabu ndani ya Championi Jumamosi

SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KWA 5G

0
SIMBA inatinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation kwa ushindi wa 5-1 Ihefu. Ni mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Azam Complex huku ukishuhudia matumizi...

SIMBA 4-0 IHEFU

0
UWANJA wa Azam Complex ubao unasoma Simba 4-0 Ihefu ikiwa ni mchezo wa hatua ya robo fainali Azam Sports Federation. Mabao ya Simba ymepachikwa na...