AFCON 2025: Vita ya Nusu Fainali Yaiva
📆 Robo Fainali | Januari 9 & 10🔥 Timu kubwa, presha kubwa!⚽️ Ni kushinda au kuaga mashindano. Unadhani timu gani itatinga nusu fainali? 👀
📆 Robo Fainali | Januari 9 & 10🔥 Timu kubwa, presha kubwa!⚽️ Ni kushinda au kuaga mashindano. Unadhani timu gani itatinga nusu fainali? 👀
Beki wa Manchester City, Rúben Dias, atakaa nje ya uwanja kwa takribani wiki 6 baada ya kupata majeraha ya msuli wa paja (hamstring). Jeraha hilo ni pigo kubwa kwa kikosi cha City katika kipindi hiki cha ushindani mkali, huku kocha Pep Guardiola akilazimika kupanga upya safu ya ulinzi. Taarifa zinasema Dias ataanza mara moja programu…
YANGA wametinga hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026 baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1–0 dhidi ya TRA United, mchezo uliochezwa katika Uwanja wa New Amaan Complex, Zanzibar. Bao hilo lilipatikana dakika ya 31 kupitia Ecua na kuipa Yanga tiketi ya kusonga mbele kwenye michuano hiyo. Katika hatua ya nusu fainali,…
Shirikisho la soka la Nigeria limekanusha ripoti zinazodai kuwa Wachezaji wawili Victor Osimhen na Akor Adams kuwa wameondoka kwenye kambi ya Super Eagles nchini Morocco katika Mashindano ya AFCON. Shirikisho pia limetupilia mbali madai ya kuwepo kwa mpasuko kati ya Osimhen na Ademola Lookman. Limeeleza kuwa masuala yaliyotokana na mabishano ya Uwanjani wakati wa mechi…
Anza kutengeneza pesa zako na wakali wa ubashiri Tanzania yaani Meridinabet kwani ODDS za kibabe zipo kwenye michuano hii mikubwa ya AFCON. Ingia kwenye akaunti yako na ubeti sasa. SERIE A inatarajiwa kuendelea ambapo Bologna ataumana dhidi ya Atalanta ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 7 kwenye msimamo wa ligi….
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Ridhiwani Kikwete amewatembelea na kuwajulia hali Mama Maria Nyerere, mke wa Hayati Baba wa Taifa na Rais wa kwanza wa Tanzania Mwalimu Julius Kambarage Nyerere nyumbani kwake Msasani jijini Dar es Salaam na Mama Anna Mkapa, mke wa Hayati Benjamin William…
Baada ya shamrashamra za Halloween kupita, ulimwengu wa burudani za kidijitali unaendelea kuangaza kwa ladha mpya kupitia Trick or Treat Bonanza kutoka Meridianbet. Ni tukio linalochukua hisia za msimu uliopita na kuzibadilisha kuwa uzoefu wa kipekee wa michezo ya mtandaoni, likilenga ubunifu, mvuto wa mandhari na msisimko wa hali ya juu. Wachezaji wanaingizwa kwenye mazingira…
Klabu ya Chelsea imethibitisha kumteua mkufunzi Liam James Rosenior kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua mikoba ya Enzo Maresca aliyetupiwa virago wiki iliyopita. Rosenior (41) raia wa England ambaye alikuwa kocha wa klabu ya Strasbourg inayomilikiwa na Kampuni ya BlueCo, ambayo pia inaimiliki Chelsea amesaini mkataba wa miaka sita na nusu utakaombakisha klabuni hapo…
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Ndege maalum (Boeing 787-8 Dreamliner) kwenda nchini Morocco kuwafuata wachezaji na kuwarudisha nchini Tanzania. Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amesema Rais Samia ametoa ndege hiyo itakayowasafirisha wachezaji, benchi la ufundi…
Ahmed Pipino (20) amejiunga na Singida,kwa mkataba wa miaka mitatu✅ Dirisha kubwa lililopita Pipino alikuwa karibu sana kujiunga na Simba,ila ikatoa mvutano na klabu yake ya KMC. Awamu hii Pipino ameununu mkataba wake pale KMC kwa dau la Tsh 70m na viongozi wakabariki aondoke zake ili akatafute maisha sehemu nyingine. Sasa Rasmi Pipino atavaa jezi…
Meneja wa zamani wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjær ameonesha nia ya kurejea klabuni hapo kama kocha mkuu wa muda mpaka mwisho wa msimu baada ya kufutwa kazi kwa Ruben Amorim. Menejimenti ya klabu hiyo imedokezwa kuhusu mshambuliaji huyo wa zamani wa klabu hiyo kuwa tayari kuchukua mikoba ya kukinoa kikosi hicho bila kujali ukomo…
Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya ushindi na Meridianbet sasa. Kule Italia, SERIE A pia kuna mechi za pesa ambapo Pisa atakipiga dhidi ya Como 1907 ambao wamekuwa na mwenendo mzuri kabisa msimu huu. Mwenyeji yeye mpaka sasa anashika…
Meridianbet inaendelea kuimarisha nafasi yake kama chapa inayoelewa mahitaji ya wateja wake kwa kuanzisha kampeni bunifu zinazounganisha burudani na zawadi zenye thamani. Katika mwanzo wa mwaka 2026, kampuni hiyo imechagua kuwekeza zaidi kwenye uzoefu wa mtumiaji kwa kuleta kampeni maalum inayolenga kuongeza msisimko ndani ya jukwaa lake. Mchezo wa Aviator, ambao tayari una umaarufu mkubwa…
Timu ya taifa ya Misri imetinga hatua ya robo fainali kwa ushindi dhidi ya Benin kwenye mchezo wa hatua ya 16 bora uliochezwa leo Januari 5 2026. Mchezo huo umekwenda mpaka dakika ya 120 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja Adrar,Agadir kusoma Misri 1-1 Benin. Katika dakika 30 Misri ilifunga magoli mawili. Misri walianza…
Waziri Mkuu wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba, ametoa agizo kwa wizara za michezo na mashirikisho ya soka nchini (TFF na ZFA) kuangalia upya kanuni za mashindano ili kuwapa nafasi zaidi wachezaji wazawa, ikiwa ni mkakati wa kuandaa kikosi imara kuelekea mashindano ya AFCON 2027 ambapo Tanzania itakuwa mwenyeji. Akizungumza leo Januari 5, 2026, visiwani Unguja,…
Singida Black Stars imethibitisha kuajiri Othmen Najjar kama Meneja Mkuu wa Timu, akiwa na rekodi yenye mvuto mkubwa ya mafanikio klabuni. Najjar amefanikisha mambo makuu katika klabu za bara la Afrika, ikiwemo: Bingwa mara 2 wa Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Bingwa mara 5 wa Ligi Kuu ya Tunisia Bingwa mara 2 wa…
Klabu ya Singida Black Stars imethibitisha kumteua kocha David Ouma kuwa kocha mkuu mpya klabuni hapo akichukua nafasi ya Miguel Angel Gamondi ambaye imembadilishia majukumu na kumteua kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa klabu. Taarifa ya leo Januari 05, 2025 iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa Ouma ambaye awali alikuwa kocha msaidizi atashirikiana na Makocha Wasaidizi…