Simba SC yapiga kambi Afrika Kusini siku 10
MSAFARA wa kikosi cha Simba SC, mapema Septemba 24, 2026 umekwekea pipa kuelekea Afrika Kusini kwa maandalizi ya mechi za kitaifa na kimataifa. Timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Steve Barker kituo kinachofuata kwenye ligi ni dhidi ya Yanga SC, mchezo wa Kariakoo Dabi unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 10, 2026. Kwa mujibu wa Ahmed Ally, Meneja…