Yanga SC mafia yanasa faili la Coastal Union
BENCHI la ufundi la Yanga SC chini ya Kocha Mkuu, Manqoba Mngqithi limefanya ‘umafia’ kwa kunasa faili zima la wapinzani wao Coastal Union kabla ya kuwakabili leo Agosti 20,2026 Uwanja wa KMC Complex.Huu utakuwa ni mchezo wa pili kwa mabingwa watetezi wa ligi kushuka uwanjani, wamekusanya pointi 3 baada ya ushindi dhidi ya Namungo FC…