Hajduk Split vs Ajax, UEFA Conference League

Hajduk Split vs Ajax, UEFA Conference League inapigwa leo Oktoba 15,2026, Uwanja wa Poljud saa 1:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Fomu ya Hajduk Split

Agosti 27,2026, Rakow Czestochowa 2-3 Hajduk Split
Agosti 20,2026, Hajduk Split 2-Rakow Czestochowa
Agosti 13,2026, Hajduk Split 4-0 VMFD ZaI
Agosti 6,2026, VMFD ZaI 2-5 Hajduk Split
Julai 30,2026, Pafos 4-0 Hajduk Split

Fomu ya Ajax
Oktoba 10,2026, Ajax 1-1 NEC
Septemba 19,2026, Ajax 2-2 Excelsior
Septemba 15,2026, Ajax 5-1 Willem II
Septemba 12,2026, Fortuna Sittard 1-5 Ajax
Septemba 5,2026, Ajax 1-3 PSV

…

Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka, Mtunzi kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo, Moyo Wangu Unavuja Damu na Msichana wa Maisha Yangu. Kuvipata 0756 028 371.

Msichana wa Maisha Yangu ni simulizi mpya ambayo inazungumzia nguvu ya ahadi na mabadiliko ya teknolojia ikiwemo matumizi ya AI. Wakazi wa Njombe kitabu kinapatikana Mtaa wa Mpechi kwa Chris Jabari, Posta karibu na Mnara wa Askari ukiwa unaelekea chuo cha IFM.

Kuvipata mtandaoni bofya hapa Buy Book: Msichana wa Maisha Yangu by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar.

Buy Ganzi ya Maumivu Book by Lunyamadzo Mlyuka on Selar | selar

Moyo Wangu Unavuja Damu: https://selar.com/7901h4koj4