Nyota wa Ibrahim Jabaar, Ibrahim Jabaar, ameonyesha ukomavu kwa kukubali na kuchukua jukumu kamili kufuatia tukio lililomfanya kuonyeshwa kadi nyekundu katika mchezo uliopita.
Kupitia ujumbe aliouweka kwenye Instagram, Jabaar amesema: βHakuna visingizio. Ninachukua jukumu kamili.β ππ½
Kauli hiyo inaonyesha kuwa Jabaar ametambua kosa lake na yuko tayari kuwajibika, huku akitarajiwa kujifunza kutokana na tukio hilo na kurejea akiwa imara zaidi.
NB: Wanasimba, msameheni Jabaar. Ametambua kosa lake. ππ½