Skip to content
Monday, August 31, 2026
  • Chelsea Yaichapa Brighton 4-3 Kwenye Mchezo Wa Kuvutia Stamford Bridge
  • Napoli Vs Como, United Vs Ipswich, Chelsea Vs Brighton — Chagua Wako leo
  • Bahati Yashushwa Ghafla Na Mystery Multiplier Drop
  • Tottenham Hotspur vs Newcastle United Uso kwa Uso EPL

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Chelsea Yaichapa Brighton 4-3 Kwenye Mchezo Wa Kuvutia Stamford Bridge
  • Napoli Vs Como, United Vs Ipswich, Chelsea Vs Brighton — Chagua Wako leo
  • Bahati Yashushwa Ghafla Na Mystery Multiplier Drop
  • Tottenham Hotspur vs Newcastle United Uso kwa Uso EPL

Saleh Jembe

Official Website

Random News
  • Home
  • FeaturedFeatured posts
  • Sports
  • Home
  • 2026
  • May
  • 7

May 7, 2026

  • Sports

Mahakama Yamsamehe Ben Marshall Licha ya Uharibifu Mkubwa Dukani

Saleh4 months ago02 mins

Aliyekuwa nyota wa zamani wa Leicester City na Wolverhampton Wanderers, Ben Marshall, ameepuka kifungo cha jela baada ya kuvamia duka la vitu vya kale na kuliharibu vibaya akiwa katika hali ya ulevi. Tukio hilo lilitokea Februari 4 mwaka huu mjini Newport, Shropshire, ambapo Marshall mwenye umri wa miaka 35 alivamia duka la antiques lijulikanalo kama…

Read More
  • Uncategorized

Simba SC Wahamia KMC Complex Kwa Mechi Za Nyumbani

Saleh4 months ago01 mins

Klabu ya Simba SC leo Mei 7, 2026 wametangaza kuhamishia mechi zao za nyumbani katika Uwanja wa KMC Complex kwa michezo ijayo, wakiachana kwa muda na matumizi ya Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo ambao ulikuwa ukitumika hapo awali. Taarifa hiyo imetolewa kupitia kurasa rasmi za klabu hiyo, ikiwa ni sehemu ya mabadiliko ya matumizi ya…

Read More
  • Sports

Mechi Za Maamuzi Europa, Nani Ataingia Fainali? Villa vs Forest, Freiburg vs Braga

Saleh4 months ago4 months ago03 mins

Kule Uturuki kunatarajiwa kupamba moto ambapo timu nne bado zinapambana kupata nafasi ya kwenda kucheza mechi ya Fainali ya Europa League. Je nani na nani kuingia Fainali? Mbilinge mbilinge zitakuwa kwenye mechi hii ya Aston Villa dhidi ya Nottingham Forest kutoka kule Uingereza hawa wote wanajuana vyema kabisa. Hii ni mechi ambayo ni ya kisasi…

Read More
  • International
  • Sports

PSG Yatinga Fainali ya UCL kwa Mara ya Pili Mfululizo, Yakutana na Arsenal

Saleh4 months ago01 mins

Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya, Paris Saint-Germain (PSG), wamefanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuiondosha Bayern Munich kwa ushindi wa jumla wa mabao 6-5 katika hatua ya nusu fainali. Katika mchezo wa marudiano uliopigwa usiku wa kuamkia leo, PSG walitoka sare ya 1-1 dhidi ya Bayern…

Read More
  • Entertainment

Watumiaji Wavutiwa na Mfumo Mpya wa Missions Meridianbet

Saleh4 months ago4 months ago02 mins

Meridianbet Missions siyo tu mfumo wa kucheza, bali ni njia mpya ya kuifanya burudani yako ya kila siku iwe na mpangilio na maana. Hapa, kila mission inakuwa kama changamoto ndogo inayokupa sababu ya kujishughulisha na kujipima kwa njia ya kisasa na ya kufurahisha. Tofauti kubwa ya mfumo huu ni jinsi unavyokuingiza kwenye tabia ya kushiriki…

Read More
Newsmatic - News WordPress Theme 2026. Powered By BlazeThemes.