Kitawaka leo! Simba vs Coastal Union – Nani Ataibuka na Ushindi?
Ligi Kuu Tanzania Bara inarejea rasmi baada ya mapumziko ya kalenda ya FIFA, huku mashabiki wakisubiri kwa hamu pambano kali kati ya Simba SC na Coastal Union leo Aprili 2, 2026 Mchezo huo utapigwa katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo Stadium majira ya saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Simba wanaingia kwenye mchezo huo…