Azam FC 4-0 Fountain Gate FC
Azam FC 4-0 Fountain Gate FC ni matokeo rasmi kwenye mchezo wa leo Aprili 12, 2026 Uwanja wa Azam Complex ikiwa ni hatua ya 16 bora. Matajiri wa Dar waligawa mchezo kwa kila dakika 45 wakipata magoli mawili ambapo walikwenda mapumziko ubao ukisoma Azam FC 2-0 Fountain Gate na kipindi cha pili wakaongeza magoli mawili….