Simba Yasitisha Mkataba na Meneja Mkuu Dimitar Pantev, Matola Kuiongoza Kwa Muda
Uongozi wa Klabu ya Simba SC umetangaza rasmi kuachana na Meneja Mkuu, Dimitar Pantev, baada ya kufikia makubaliano ya pande zote mbili kusitisha mkataba. Aidha, wasaidizi wake wawili nao wameondoka pamoja naye katika hatua hiyo ya mabadiliko ya kiufundi. Kwa mujibu wa taarifa ya klabu, majukumu ya kuisimamia timu kwa sasa yamekabidhiwa kwa Kocha Selemani…