AMEINGIA ANGA ZA SIMBA KIRAKA WA YANGA
INAELEZWA kuwa benchi la ufundi la Simba hesabu zake ni kuipata saini ya kiraka anayekipiga ndani ya kikosi Azam FC
INAELEZWA kuwa benchi la ufundi la Simba hesabu zake ni kuipata saini ya kiraka anayekipiga ndani ya kikosi Azam FC
Mnyama anaondoka na pointi moja katika dimba la Félix Houphouët-Boigny, Abidjan kufuatia sare ya 0-0 dhidi ya wenyeji, Asec Mimosas. FT: Asec Mimosas ?? 0-0 ?? Simba SC MSIMAMO KUNDI B 1. ?? Asec — 11 2. ?? Simba — 6 3. ?? Jwaneng — 4 4. ?? Wydad — 3 LEO KUNDI B: Jwaneng…
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Felix Tshisekedi ametangaza kumpatia zawadi mchezaji Luvumbu Nzinga ambaye ameachana na klabu ya Rayon Sports ya Rwanda hivi karibuni. Katika mkutano na waandishi wa habari alifahamisha kuwa Luvubu alionyesha ushujaa katika kuwapigania wananchi wa DRC waliopo Kaskazini mwa nchini hiyo ambao wanaendelea kuyakimbia makazi yao kutokana na mapigano…
Baada ya Mnyama kutoa sare jana dhidi ya ASEC MIMOSAS leo ni zamu ya Wananchi kuingia mzigoni… Wananchi wanahitaji ushindi wa mabao mengi ili waweze kupata uhakika wa kusonga mbele… KILA LA KHERI WANANCHI
NYOTA wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil, Dani Alves amehukumiwa kifungo cha miaka minne na miezi 6 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumnyanyasa kingono mwanamke mmoja katika klabu ya usiku ya Barcelona mnamo mwaka 2022. Uamuzi huo umefanywa na Mahakama kuu Nchini Uhispania ambayo sambamba adhabu hiyo imemuamuru beki huyo wa…
Utamu wa kubashiri ni kula pesa na hii yote utaikuta kwa wababe wa ubashiri Tanzania pekee meridianbet ambapo hapa unapata ODDS KUBWA na za kibabe sana. Timu nyingi zipo uwanjani leo weka mkeka wako uamke na pesa asubuhi kesho. LIGUE 1 kule Ufaransa kurindima leo ambapo Lyon atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Metz…
LIGI ya Mabingwa Afrika inatarajiwa kuendelea leo Februari 23 kwa timu kushuka uwanjani kusaka ushindi ndani ya uwanja katika dakika 90. Wababe ASEC Mimosas watakuwa kazini kwenye mchezo dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa nchini Ivory Coast. Kwenye mchezo uliopita walipokutana Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 ASEC Mimosas walipogawana pointi mojamoja. Al Hilal itakuwa…
KOCHA Mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake ya Tanzania, Twiga Stars, Bakari Shime amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Afrika Kusini. Shime ameweka wazi kuwa muda wa maandalizi waliopata walitumia kufanyia kazi makosa na kupeana mbinu ambazo zitakuwa kielelezo kwenye mchezo ndani ya dakika 90. Mchezo huo unatarajiwa…
Hii habari njema kwa wapenzi wote wa michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Meridianbet ambao tayari wamejisajili na hata wasiojisajili, wana nafasi ya kushinda mgao wa Bilioni 2 kwa watu ambao watachagulia baada ya kuibuka washindi wa promosheni ya “Bonanza la Bonasi Papo Hapo”. Promosheni ya “Hall of fame: Bonanza la Bonasi Papo Hapo” imeanza…
MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanaingia kàtika orodha ya timu ambazo zimepata ushindi mkubwa katika mechi za Azam Sports Federation ikiwa ni raundi ya tatu. Ubao wa Uwanja wa Azam Complex Februari 22 2024 baada ya dakika 90 ilikuwa Azam FC 5-0 Green Warriors. Mabao ya Idd Suleiman Nado dakika ya 32, Kipre Junior dakika…
AMELETA balaa Clatous Chama ndani ya Simba ambayo ina kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas
Wakati michuamo ya Uefa Conference League inaendelea nao mabingwa wa michezo ya kubashiri kampuni ya Meridianbet nao hawako nyuma wanaendelea kukuhakikishia uhakika wa kushinda mkwanja kupitia michuamo hii. Michuano ya Uefa Conference League itaendelea usiku wa leo na viwanja mbalimbali vitawaka moto, Lakini Meridianbet wanakuambia hii ni fursa nyingine kwako wewe mteja wao kwani michezo…
MIAMBA wawili ndani ya kikosi cha Yanga kwa msimu wa 2023/24 wamefanya yao kwa kuandika rekodi za kuwa nyota wa kwanza kufunga katika mechi za mwanzo kwa kila mzunguko. Kasi ya kiungo Mudathir Yahya kutoka mzunguko wa kwanza imeendelea mpaka mzunguko wa pili akifanya yake ndani ya uwanja. Ikumbukwe kwamba Mudathir alifunga mabao kwenye mechi…
Serikali ya Tanzania kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Said Shaibu Mussa, imesema ilifuata maelekezo ya Kitaalamu wakati wa uandaaji wa Sanamu ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. #Nyerere Balozi Shaibu amesema vigezo vilivyotumika ni kumlenga Nyerere wa Miaka 60 hadi 80 wakati…
Mambo vipi mteja wa meridianbet?. Unajua kwamba leo hii ndani ya meridianbet kuna mzigo wakutosha?, yani huku mapene kama yote weka mkeka wako haraka sana leo mechi za Europa na Conference zinaendelea hatua za 16 raundi za pili. Ingia na ubeti sasa. Vijana wa Stephano Pioli AC Milan baada za kutoa kichapo cha maana mechi…
WACHEZAJI wa Simba wamepewa progrm maalumu kwa ajili ya kuwa imara kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya ASEC Mimosas hatua ya makundi unaotarajiwa kuchezwa Februari 23 2024.
MAHAKAMA ya juu ya Catalonia nchini Hispania imemuhukumu kutumikia jela miaka minne na nusu nyota wa zamani wa timu ya Taifa ya Brazil na Klabu ya Barcelona Dani Alves . Alves mwenye miaka 40 amehukumiwa adhabu hiyo baada ya kukutwa na hatia ya kosa la shambulio la ngono au unyanyasaji wa kingono kwa Mwanamke mmoja…