>

YANGA WATAJA SABABU YA KUAMBUIA POINTI MOJA

BAKARI Mwamnyeto nahodha wa Yanga ameweka wazi kuwa moja ya sababu kubwa iliyofanya wakakosa ushindi kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania ni sehemu ya kuchezea kutokuwa rafiki. Mchezo wa mzunguko wa pili kati ya JKT Tanzania na Yanga ulichezwa Aprili 24 2024 ambapo awali ulitarajiwa kuchezwa Aprili 23 lakini uliahirishwa kutokana…

Read More

SIMBA YATINGA FAINALI, NGOMA NI BALAA

MWAMBA Fabrice Ngoma na Zanzibar ni damudamu kutokana na kuwa katika kiwango bora kama ambavyo ilikuwa kwenye Mapinduzi 2024 alipoibuka mchezaji bora katika Michuano hiyo. Hivyo nyota huyo kwenye uwanja eneo la kiungo amekuwa na balaa zito wakiwa visiwani jambo linalofanya akombe tuzo hizo mara kwa mara. Kwa mara nyingine tena Simba wamerejea Zanzibar, Uwanja…

Read More

TENGENEZA STRAWBERRY COCKTAIL NYUMBANI KWAKO FANYA HAYA HUKU UKICHEZA MERIDIANBET KASINO

Utaandaa matunda yako unayotaka kutumia unaweza kutumia Strawberry, Cantaloupe ni jamii ya matunda ya limao, embe, parachichi, halafu kwenye kusaga usitumie maji tumia juisi ya Apple, au zabibu, maziwa na asali pamoja na sukari nyeupe. Jisajili Meridianbet upate bonasi za kasino na michezo mingi ya bure. Utachagua unaanza kusaga matunda gani kwa mfano utaanza na…

Read More

JKT TANZANIA NGOMA NGUMU MBELE YA YANGA

LICHA ya mazingira ya Uwanja wa Meja Isamuhyo kutokuwa rafiki kwa timu zote mbili ngoma imekuwa ngumu kwa wote wawili kugawana pointi mojamoja. Ubao umesoma JKT Tanzania 0-0 Yanga baada ya filimbi ya mwisho kwa mwamuzi kupigwa katika mchezo wa mzunguko wa pili. Ikumbukwe kwamba mzunguko wa kwanza JKT Tanzania walishuhudia ubao wa Uwanja wa…

Read More

Title:MERSEYSIDE MOTO UTAWAKA LEO

Usiku wa leo zitapigwa mechi mbalimbali kwenye ligi tofauti tofauti barani ulaya ila kwa kiwango kikubwa macho yatakua pale Uingereza kwenye dimba la Goodson Park kwenye mchezo wa Derby ya Merseyside. Derby ya Merseyside imemua moja ya derby zenye mvuto mkubwa nchini Uingereza kila ambapo inakua inapigwa, Lakini leo itakwenda kua na mvuto wa tofauti…

Read More

SIMBA KWENYE KAZI LEO MUUNGANO

SELEMAN Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa Kombe la Muungano dhidi yaKVZ ambao unatarajiwa kuchezwa leo Aprili 24, Uwanja wa New Amaan Complex. Kikosi hicho kinatarajiwa kuwa na kazi dakika 90 kusaka matokeo ambapo kwenye mechi zake tano mfululizo kimekwama kupata ushindi. Matola amesema; “Tunatambua umuhimu wa mchezo wetu…

Read More

JOB ANAPAMBANA NA YANGA

BEKI wa kazi ngumu Dickson Job tuzo ya beki bora inanukia kwake kwa mara nyingine tena kutokana na ushirikiano mkubwa uliopo katika timu hiyo. Mbali na Job ambaye ni mchezaji wa kwanza kufunga bao ndani ya Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya KMC kuna kitasa kingine kinaitwa Bacca kitampa ushindani mkubwa kujua nani atakuwa nani….

Read More

FEI TOTO AFICHUA JAMBO HUKO

KIUNGO mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum ameweka wazi kuwa kuwa bora ndani ya uwanja ni kufuata maelekezo ya mwalimu. Fei amekuwa bora msimu wa 2023/24 akiwa na uzi wa Azam FC ni mabao 14 katupia ndani ya ligi akiwa namba moja kwa wazawa wenye mabao mengi. Nyota huyo bao la 14 alipachika kwenye mchezo…

Read More

ARSENAL NA CHELSEA NANI KUIBUKA MBABE LEO?

Uingereza kutapigwa mechi kubwa na ya kibabe kabisa katika ya miamba miwili ya soka kutoka jiji la London klabu ya Arsenal watacheza dhidi ya Chelsea. Mchezo huu ni mchezo wa Derby kwani vilabu vyote vinatoka katika jiji la London na timu zinazokutana pia ni kubwa, Hivo inatosha kuonesha mchezo wa leo utakaokwenda kupigwa katika dimba…

Read More

JKT TANZANIA V YANGA KUPANGIWA TAREHE

MCHEZO wa Ligi Kuu Bara kati ya JKT Tanzania dhidi ya Yanga uliotarajiwa kuchezwa Aprili 23 2024 Uwanja wa Meja Isamuhyo umeahirisha. Huu ni mchezo wa mzunguko wa pili ambao ulitarajiwa kuchezwa kwa dakika 90 kusaka mshindi ambaye angekomba pointi tatu. Timu zote mbili zilikuwa zimewasili uwanjani kwa ajili ya mchezo huo wa ligi uliokuwa…

Read More

SIMBA HAO ZANZIBAR

KIKOSI cha Simba leo kimeanza safari kuelekea Zanzibar kwa ajili ya mashindano ya Muungano Cup 2024. Simba haijawa kwenye mwendo mzuri ndani ya ligi baada ya kukwama kuonyesha uwezo wake wa kutumia nafasi dhidi ya Yanga ndani ya Ligi Kuu Bara. Mzunguko wa kwanza ilipoteza kwa kushuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 1-5…

Read More