>

MSHINDI Parimatch KITAA ALAMBA ZAWADI NONO

KAMPUNI ya michezo yakubashiri ya Parimatch imezindua michuano maalum ijulikanayo kwa jina la Parimatch Kitaa Cup 2024 yenye lengo la kuinua na kundeleza vipaji katika mpira wa miguu. Mashindano haya yanashirikisha jumla ya timu nane kutoka maeneo mbalimbali ya jijini Dar es Salaam kwa mujibu wa Mkuu wa Masoko wa kampuni hiyo, Levis Paul. Paul…

Read More

YANGA V AZAM FC FAINALI

YANGA imetinga hatua ya fainali ya CRDB Federation Cup kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Ihefu mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa. Ni dakika ya 104 bao la ushindi kwa Yanga limefungwa na Aziz KI katika mchezo wa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. Ni fainali ya nne kwa Yanga katika CRDB Federation Cup wanakwenda…

Read More

MGUNDA NA HESABU NDEFU SIMBA

JUMA Mgunda Kocha Mkuu wa Simba amesemaamesema kuwa kikubwa ambacho kinahitajika katika mechi zilizobaki ni kupata matokeo mazuri. Ni hesabu ndefu kwa Mgunda kupambaniakupambania nafasi ya pili dhidi ya Azam FC zote zikiwa na pointi 60 kibindoni baada ya kucheza mechi 27 msimu wa 2023/242023/24. Mchezo uliopita wa ligi Simba ilipata pointi tatu dhidi ya…

Read More

YANGA KAMILI KUIKABILI IHEFU

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa YangaYanga amesema kuwa wapo tayari kwa mchezo wa nusu fainali dhidi ya Ihefu unaotarajiwaunaotarajiwa kuchezwa leo Mei 19 2024 Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Arusha. YangaYanga ni mabingwa watetezi wa CRDB Federation Cup walitwaa taji hilo kwa ushindi wa bao 1-0 Azam FC katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga….

Read More

AZAM FC YATINGA FAINALI CRDB FEDERATION CUP

MATAJIRI wa Dar Azam FC chini ya Kocha Mkuu Yusuph Dabo wamefanikisha lengo la kutinga hatua ya fainali CRDB Federation Cup kwa ushindi wa mabao 3-0 Coastal Union. Katika mchezo uliochezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha, Azam FC wamekuwa wababe ndani ya dakika 90. Mabao mawili yamefungwa na Abdul Sopu ilikuwa dakika ya 42…

Read More

YANGA YATUMA UJUMBE HUU IHEFU

KUELEKEA kwenye mchezo wa nusu fainali ya CRDB Federation Cup mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga wamebainisha kwamba hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwa kupata matokeo chanya. Yanga inakutana na Ihefu Mei 19 Uwanja wa CCM Kirumba kwenye nusu fainali ambapo mshindi atakutana na Azam FC kwenye fainali iliyopata ushindi dhidi ya Coastal Union ya…

Read More

COASTAL UNION KUMENYANA NA AZAM FC

WANAUME wa kazi Azam FC na Coastal Union wanatarajiwa kuvuja jasho ndani ya dakika 90 kusaka mshindi atakayetinga fainali kwenye mchezo wa CRDB Federation Cup hatua ya nusu fainali dhidi ya Azam FC. Ni Uwanja wa CCM Kirumba mchezo huo unatarajiwa kuchezwa kwa timu hizo mbili kuwa na kazi kusaka ushindi. Ni mchezo unaotarajiwa kumtoa…

Read More

FUNGAFUNGA BADO MBILI SIMBA

SIMBA inafikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 27 nafasi ya tatu ikiwa sawa pointi na Azam FC iliyo nafasi ya pili tofauti kwenye mabao ya kufunga na kufungwa. Michael Fred ambaye Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally anapenda kumuita fungafunga amebakisha mabao mawili kufikia rekodi ya mwamba Jean Baleke na…

Read More

LIGI KUU BARA: DODOMA JIJI 0-1 SIMBA

FT: LIGI Kuu Bara Uwanja wa Jamhuri, Dodoma Dodoma Jiji 0-1 Simba Goal Michael Fred dakika ya 7 DODOMA Jiji wapo nyumbani Uwanja wa Jamhuri, Dodoma wakisaka pointi tatu mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu Juma Mgunda. Simba ikiwa ugenini nayo hesabu zake ni kupata pointi tatu muhimu kwenye mchezo ambao una ushindani mkubwa….

Read More

TAIFA STARS INAZIDI KUIMARIKA TARATIBU

LEGEND kwenye upande wa uandishi wa Habari za Michezo na Burudani Bongo, Saleh Ally, Jembe ameweka wazi kuwa timu ya taifa ya Tanzania ya Taifa Stars inazidi kuimarika taratibu na mechi za kirafiki zitakuwa na faida hapo baadaye kwenye mashindano ya kitaifa na kimataifa. Jembe amebainisha kuwa licha ya Stars kuanza kwa kuchechemea kwenye mchezo…

Read More