
UBAYA UBWELA HAUJAFIKA HATA ROBO, WAPINZANI KAZI WANAYO
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa nado hawajafika hata robo ya ubaya ubwela ndani ya kikosi hicho hivyo wapinzani wao wajipange sawasawa. Ikumbukwe kwamba Septemba 7 2024 Simba ilicheza mchezo wa kirafiki dhidi ya JKT Tanzania yenye John Bocco mfungaji bora wa muda wote ndani ya ligi akiwa…