
KMC: TUNA HASIRA KUPOTEZA MBELE YA YANGA
UONGOZI wa KMC umeweka wazi kuwa una hasira kupoteza mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga hivyo hesabu kubwa ni kufanya vizuri kwenye mechi zijazo. Katika mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Azam Complex, Septemba 29 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC na bao la ushindi lilifungwa na Maxi Nzengeli…