LIVE BUNGENI: WAZIRI MWGULU ANAWASILISHA MAKADIRIO NA MATUMIZI YA BAJETI KUU YA SERIKALI 2024/2025

Serikali imesema bajeti ya mwaka wa fedha 2024/2025 imelenga kutekeleza vipaumbele vitakavyojikita katika kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu” pamoja na mpango wa maendeleo wa taifa wa mwaka 2024/25. Akiwasilisha bajeti hiyo bungeni Dodoma, Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba ameyataja maeneo ya vipaumbele yaliyoainishwa katika mpango huo kuwa ni pamoja na…

Read More

JUVENTUS YAMTEUA THIAGO MOTTA KUWA KOCHA MPYA

Klabu ya Juventus ya Serie A imethibitisha kumteua mkufunzi Thiago Motta kuwa kocha mkuu klabuni hapo kwa mkataba wa miaka mitatu mpaka Juni 2027. “Ninayo furaha kuanza ukurasa huu mpya katika klabu bora kama Juventus, asante kwa imani yenu na ninaweza kuhakikisha nitajitolea kuwafanya mashabiki wa Juventus wajivunie”. — Mota Mota (41) raia wa Italia…

Read More

MANGUNGU: MO DEWJI NI MWANASIMBA JASIRI

Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu amewajibu Wanasimba wanaodhani kuwa hana maelewano na Mwekezaji Mo Dewji kuwa “Nani kawaambia? Anasema hana chuki na Mo Dewji na kuongeza kuwa anayemsimanga Mo siyo mwana Simba ni kiumbe kingine, “Mimi simchukulii Mo kama muwekezaji pekee, namchukulia kama mtu jasiri ambaye anatumia nguvu na pesa zake kuisaidia Simba, hata hiyo…

Read More

MERIDIANBET KASINO NI AVIATOR, KILA HATUA USHINDI

Kuna ile michezo mingine ya kasino, halafu kuna Aviator ya Meridianbet usipime aiseeh inatoa washindi kirahisi sana, mchezo huu unapatika kwenye kasino ya mtandaoni, kama ulikuwa unatufta njia rahisi ya kupiga mkwanja mrefu kasino, basi kiu yako imepata maji, cheza Aviator sasa utaona maajabu yake. Mchezo huu unahusisha urushaji wa ndege, sasa wewe ndiyo unapaswa…

Read More