KILA LA KHERI TAIFA STARS
USHINDANI ni mkubwa na kila timu inafanya kweli kupata ushindi ndani ya uwanja hivyo muhimu ni kujituma na kupata matokeo chanya. Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars leo ina kibarua kingine kigumu kusaka ushindi dhidi ya DR Congo hautakuwa mchezo mwepesi hata kidogo. Kila timu inatafuta pointi tatu hivyo ni muhimu kwa wachezaji kujituma…