NABI APIGA HESABU ZA DAKIKA 180

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema kuwa wachezaji wake wana kazi kwenye mechi mbili zilizobaki kupata matokeo mazuri. Yanga imetwaa ubingwa ikiwa na pointi 74 baada ya kucheza mechi 28 kwenye ligi na imepoteza mechi mbili pekee dhidi ya Ihefu na Simba. Mechi mbili ambazo zimebaki ni dhidi ya Mbeya City inayotarajiwa kuchezwa juni…

Read More

KOCHA SIMBA AMKOMALIA ONYANGO

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ni wakati wa mabeki wa timu hiyo kuongeza umakini na kutimiza majukumu kwa wakati kwenye mechi watakazocheza. Ipo wazi kwamba Simba imepishana na ubingwa wa ligi ambao upo mikononi mwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Yanga pia imecheza fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika wakigotea…

Read More

YANGA KUREJEA KIMATAIFA WAKIWA IMARA

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa utarejea kwenye mashindano ya kimataifa wakati mwingine ukiwa imara zaidi. Timu hiyo kutoka Tanzania imeandika rekodi nzuri ya kucheza fainali kwenye Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa ni ya kwanza kutoka Tanzania kufanya hivyo. Imegotea kuwa mshindi wa pili baada ya ushindi wa jumla ya Yanga 2-2 USM Alger kuwabeba…

Read More

YANGA WAPEWA HEKO NA RAIS SAMIA, WAITWA IKULU

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameialika timu ya Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni Juni 5, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo leo Juni 4 imeeleza hivyo. Taarifa hiyo imeeleza kuwa Rais ameialika Yanga kwenye hafla ya chakula cha jioni…

Read More

AZAM FC KUFUNGA MSIMU NA KETE HIZI

UONGOZI wa Azam FC umebainisha kuwa unatarajia kufunga msimu wa 2022/23 kwa mechi tatu za jasho na damu. Kwenye mechi hizo moja itakuwa ni fainali dhidi ya Yanga unaotarajiwa kuchezwa Tanga. Timu hiyo kwa sasa inaendelea na maandalizi kwa mechi hizo zilizobaki ili kupata matokeo mazuri. Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe amesema wanatambua…

Read More

MASTAA SIMBA KWENYE MAJUKUMU MENGINE

HENOCK Inonga beki wa Simba ni miongoni mwa nyota ambao wameitwa kwenye timu ya Taifa ya DR Congo. Nyota hao wanakwenda kwenye majukumu mengine kupeperusha bender za timu zao za taifa. Inonga mwenye  tuzo ya beki bora msimu wa 2021/22 anaitetea tena kwa msimu wa 2022/23 baada ya kuwa kwenye orodha ya mastaa wanawania tuzo…

Read More

KIMATAIFA: USM ALGER 0-1 YANGA

UBAO wa Uwanja wa Julai 5 nchini Algeria unasoma USM Alger 0-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za kwanza. Mchezo kwa sasa ni mapumziko ambapo Yanga imepata bao la mapema katika fainali ya pili itakayoamua mshindi wa Kombe la Shirikisho Afrika. Bao la kuongoza kwa Yanga limefungwa na Djuma Shaban dakika ya 6 kwa pigo…

Read More

MANCHESTER UNITED KWENYE HESABU ZA MASON

INAELEZWA kuwa Manchester United wamefanya mazungumzo na Chelsea kuhusu kuipata saini ya kiungo Mason Mount, Sky Sports News imeambiwa. Hata hivyo hakuna ofa rasmi ambayo imetolewa kwa kiungo huyo wa Chelsea. Ikiwa makubaliano yanaweza kutekelezwa, inafikiriwa kuwa masharti ya kibinafsi hayatarajiwi kuwa tatizo. Mkataba wa Mount Chelsea unamalizika msimu ujao. Manchester United wamefanya maswali kadhaa…

Read More

NAMUNGO FC WAPIGA HESABU KUMALIZANA NA DODOMA JIJI

KOCHA Mkuu wa Namungo FC Dennis Kitambi amesema kuwa wanaimani kubwa ya kupata matokeo mazuri kwenye mchezo ujao wa ligi dhidi ya Dodoma Jiji Timu hiyo ya Namungo mchezo wake uliopita ilishinda mbele ya Azam FC kwa mabao 2-1 mchezo uliochezwa Uwanja wa AzamComplex. Inatarajiwa kucheza na Dodoma Jiji, Juni 6 Uwanja wa Majaliwa ikiwa…

Read More

SIMBA WAJA NA GIA NYINGINE

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa anaamini timu hiyo itakuwa kwenye mwendo mzuri msimu ujao ikiwa itapata wachezaji wenye ubora kila idara. Kocha huyo alikiongoza kikosi cha Simba kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya Yanga Uwanja wa Mkapa. Henock Inonga na Kibu Dennis hawa ni nyota waliofunga mabao kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja…

Read More