KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA YANGA FAINALI NGAO YA JAMII

NI fainali ya Ngao ya Jamii, Tanga ikiwa ni mchezo wa Kariakoo ndani ya Tanga kati ya Yanga dhidi ya Simba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo Roberto Oliveira ametambulisha jeshi lake atakaloanza nalo namna hii:- Ally Salim Shomari Kapombe Mohamed Hussein Kennedy Juma Che Malone Sadio Kanoute Clatous Chama Mzamiru Yassin John…

Read More

YANGA V SIMBA, HII GEMU HAINA MWENYEWE

WEKA ngoma ipigwe wanasema tumewafuata waliotangulia ni kueleka mchezo wa Dabi ya Kariakoo kati ya Yanga  V Simba. Kila timu ina nyota wapya ikiwa ni pamoja na Jonas Mkude, Skudu Makudubela na Maxi Nzengeli kwa Yanga, Luis Miquissoe, Willy Onana kwa Simba. Ikumbukwe kwamba Yanga waliitungua mabao 2-0 Azam FC kisha Simba wao walipenya kwa…

Read More

AZAM FC WASHINDI WA TATU NGAO YA JAMII

AZAM FC chini ya Kocha Mkuu, Yusuph Dabo ni washindi wa tatu Ngao ya Jamii baada ya kuwashinda Singida Fountain Gate. Ubao wa Uwanja wa Mkwakwani, Tanga umesoma Azam FC 2-0 Singida Fountain Gate. Mabao ya Prince Dube na Sopu yametosha kuimaliza Singida Fountain Gate. Huu ni mchezo wa kwanza kwa Dabo kushuhudia timu hiyo…

Read More

SIMBA WANA ZALI NA MKWAKWANI

KATIKA mechi mbili za hivi karibuni ambazo Simba ilicheza Uwanja wa Mkwakwani, Tanga haijapoteza. Simba imekuwa na zali ndani ya dakika 90 kutopoteza kwenye mechi za ushindani ambazo walicheza na leo wana kazi ya kufanya dhidi ya Yanga. Ni Kariakoo Dabi ndani ya Tanga inatarajiwa kuchezwa saa 1:00 usiku ambapo Yanga na Simba zote zimeweka…

Read More

YANGA HAWAJAPOTEZA MKWAKWANI, TANGA

YANGA kwenye mechi mbili walizocheza Uwanja wa Mkwakwani hivi karibuni hawajapoteza hata mmoja. Ilikuwa ni fainali ya Azam Sports Federation dhidi ya Azam FC, kwenye mchezo huo Yanga walishinda bao 1-0. Mchezo wa pili kwa Yanga ilikuwa dhidi ya Azam FC katika hatua ya nusu fainali ya kwanza ya Ngao ya Jamii, Uwanja wa Mkwakwani….

Read More

IWE NI KARIAKOO DABI YA AMANI

KARIAKOO Dabi inatarajiwa kuwa leo Uwanja wa Mkwakwani ambapo hii ni hatua ya fainali Ngao ya Jamii kwa timu zote kusaka ushindi. Ni Yanga dhidi ya Simba mchezo ambao unasubiriwa kwa shauku kubwa na mashabiki na wachezaji wenyewe kuonyesha uwezo wao uwanjani. Baada ya maandalizi ya muda pamoja na usajili kuendelea kufanyika wakati uliopo sasa…

Read More

BINGWA WA EPL HUYU HAPA

MSIMU wa Ligi Kuu ya England umeanza kutimua vumbi jana Ijumaa, kwa michezo miwili kupigwa ambapo mabingwa watetezi Manchester City walifungua pazia la kampeni ya kutetea taji lao ugenini mbele ya Burnley, huku mabingwa wa Ngao ya Jamii, Arsenal wao wakianzia nyumbani dhidi ya Nottingham Forest. Tayari joto la matokeo limezidi kuwa kubwa kwa mashabiki…

Read More

HUYU HAPA KIPA MPYA SIMBA

RASMI Simba imemtangaza kipa mpya mwingine tena ambaye atakuwa askihirikiana na wale waliopo kwenye kazi ya ulinzi. Ni Ayoub Lakred Agosti 12 ametambulishwa rasmi huku taarifa zikieleza kuwa ni Agosti 11 dili lake lilikuwa tayari kwa mwamba huyo kuwa ndani ya Simba. Kipa huyo alikuwa anaitumikia Klabu ya AS Far ya Morocco hiyo msimu wa…

Read More

NDONDO CUP YAFIKA 16 BORA

BAADA ya kivumbi kutimka hatua za makundi mashindano ya Ndondo Cup hatimaye 16 bora imepatikana na inatarajiwa kuanza Agosti 12-16 na viwanja viwili vitatumika ikiwa ni Uwanja wa Kinesi na Bandari. Mashindano hayo yenye ushindani mkubwa yanaratibiwa na Chama cha Soka wilaya ya Ubungo. Katibu wa chama cha soka wilaya ya Ubungo, Hassan Bakari  amesema:”Kwa…

Read More

KIPA SIMBA KWENYE MTEGO MKWAKWANI

ALLY Salim kipa namba mbili wa Simba ameingia kwenye mtego mwingine wa kudhihirisha ubora wake kama alibahatisha ama ulikuwa ni upepo alipokamilisha dakika 90 bila kutunguliwa na mastaa wa Yanga wakiongozwa na Fiston Mayele. Ikumbukwe kwamba msimu wa 2022/23 Salim alikaa langoni kwenye Kariakoo Dabi na alishuhudia ubao wa Uwanja wa Mkapa kwenye mchezo wa…

Read More

MUDA NI MCHACHE HUKU MAMBO YAKIWA MENGI

MUDA uliobaki kwa ligi kuanza unahesabika, kwani kila kitu kitaanza hivi karibuni ikiwa ni msimu mpya unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ni Yanga walitwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2022/23 wanakazi ya kuutetea kwa msimu mpya wa 2023/24. Ikumbukwe kwamba Yanga walitwaa Ngao ya Jamii pia msimu wa 2023 kwa ushindi dhidi ya Simba Uwanja…

Read More

HISTORIA IMEANDIKWA UDHAMINI WA NBC LIGI KUU BARA

HATIMAYE Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na Benki ya NBC wametangaza kufanya maboresho ya mkataba wao wa udhamini wa Ligi Kuu Bara, kutoka udhamini wa awali wa miaka mitatu hadi mitano kuanzia msimu wa mwaka 2023/24 hadi mwaka 2027/2028. Ikumbukwe kuwa udhamini wa awali wa miaka mitatu ulikuwa wa thamani ya sh. Bilioni…

Read More

CAICEDO AIGOMEA LIVERPOOL, HUYO CHELSEA

DILI la staa wa Brighton FC Moises Caicedo kuibukia Liverpool linaweza kubuma licha ya asilimia 99 kuwa upande wao. Nyota huyo wa Brighton alikuwa katika mazungumzo na Liverpool ambao waliweka mkwanja mrefu mezani wa euro 110 milioni. Jurgen Klopp, Kocha Mkuu wa Liverpool aliweka wazi kuwa kila kitu kuhusu Caicedo kipo tayari ni jambo la…

Read More