KAZI KUBWA NI KUSAKA USHINDI NYUMBANI AMA UGENINI

KILA timu inaposhuka uwanjani mpango kazi mkubwa ni kupata ushindi. Iwe ni kwenye mchezo wa kirafiki hata ule wa ushindani malengo bado yanabaki palepale kwa kila timu kuhitaji kuwa kwenye mwendo mzuri. Kwa sasa timu nyingi zipo kwenye maandalizi kwa ajili ya mechi za kitaifa na kimataifa hilo lipo wazi. Zipo ambazo malengo makubwa ni…

Read More

AZAM FC HAWATAKI UTANI HUKO

MATAJIRI wa Dar, Azam FC hawataki utani kwenye mechi zao za ligi kwa kuweka wazi kuwa watendelea kasi yao ileile waliyoanza nayo kwenye mechi za ugenini. Ipo wazi kuwa kwenye mechi mbili za ugenini Azam FC inayonolewa na Yusuph Dabo ilikomba pointi sita mazima ndani ya dakika 180. Ilianza kushuhudia ubao wa Uwanja wa Lake…

Read More

MWAMBA PHIRI ANAKUJA

MOSES Phiri, nyota wa Simba mdogomdogo anazidi kurejea kwenye ubora wake kutokana na kasi yake kwenye kufunga na kutoa pasi za mabao kuanza kuimarika. Ipo wazi kwamba zama za kocha Roberto Oliveira hakuwa chaguo la kwanza katika kikosi hicho na mechi nyingi alianza kusugua benchi licha ya uwezo alionao. Ni mabao matatu katupia ndani ya…

Read More

WALIOPO MKIANI MUHIMU KUPAMBANIA KOMBE

MUDA wa kufanya kazi kubwa ya kujitoa kwenye nafasi zile za mwisho wengi hupenda kuita mkiani inatosha kwa kuanza kuleta ushindani wa kweli. Ipo wazi kwamba kila timu inahitaji kupata matokeo mazuri lakini inakwama kutokana na kukutana na ushindani mkubwa zaidi. Muda uliopo kwa sasa ni kufanya malipo stahiki kwa muda ili kuwa kwenye ubora…

Read More

SIMBA WAIREJESHA TUZO KWA MASHABIKI

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tuzo ya mashabiki bora ambayo wamepata kutokana na kushiriki michuano ya African Football League ni heshima kubwa kwao. Ikumbukwe kwamba Simba iligotea hatua ya robo fainali kwa kuondolewa na Al Ahly ya Misri. Baada ya kutwaa tuzo hiyo walibainisha kuwa ni ya kila shabiki wa Simba. Novemba 11 Simba…

Read More

HAWA HAPA MABINGWA WA AFL

Mabingwa wa African Football League ñi Mamelod Sundown ya Afrika Kusini mbele ya Wydad Casablanca. Katika fainali ya leo ubao umesoma Mamelod 2-0 Wydad na kuwafanya watwae ubingwa kwa jumla ya mabao 3-1. Bao la Peter Shalulile dakika ya 45 liliwaongezea nguvu vijana hao ambao walipachika bao ka pili dakika ya 53 kupitia kwa Modiba….

Read More

YANGA YARIPOTIWA KUMSAJILI KIUNGO MKATA UMEME WA IVORY COAST

Klabu ya Yanga imeripotiwa kuwa ukingoni kukamilisha dili la kumsajili kiungo mkata umeme kutoka Ivory Coast, Djire Abdoulaye kutoka klabu ya Racing Club Abidjan. Young Africans SC inahitaji kiungo mwingine mkabaji haraka iwezekanavyo ikiwa ni pendekezo la kocha Miguel Gamondim Abdoulaye (17) anatazamiwa kukubaliana pia masharti ya kibinafsi na Young Africans licha ya msururu wa…

Read More

DEREVA WA CHINO AFARIKI

DEREVA aliyekuwa akiendesha gari alilokuwa akisafiria msanii na dansa maarudu, Chino Kid aitwaye Nabeel, amefariki dunia akiwa anapatiwa matibabu, kutokana na majeraha aliyoyapata kwenye ajali hiyo. Mmoja wa watu wa karibu wa Chino Kid, Prodyuza Abbah Process kupitia akaunti zake za mitandao ya kijamii, ameandika: ‘Rest in Peace Brother, tumepoteza mwanafamilia mmoja aliyekuwa kwenye ajali…

Read More

MERIDIANBET KUNA MGAO WA 800,000/= TZS UNAKUSUBIRI

Michezo kabambe ya kasino mtandaoni kutoka Expanse itakufanya kuvuna bonasi kuanzia TZS 100,000/= kwenye mgao wa TZS 800,000/= Mwezi huu wa Novemba. Ukiachana na sloti kibao ikiwemo michezo ya kasino mtandaoni rahisi kabisa kupiga pesa kama Aviator mchezo pendwa, Roulette na Poker, katika promosheni hii ya Expanse Casino 9.0 mchezaji atakayecheza michezo ifuatayo atajiweka kwenye…

Read More

PUMZIKA KWA AMANI RAPHAEL DWAMENA

Mshambuliaji wa Timu ya Taifa ya Ghana, Black Stars, Raphael Dwamena amefariki dunia baada ya kuanguka uwanjani  wakati wa mechi kati ya timu yake ya Egnatia Rrogozhine ya nchini Albania dhidi ya Partizani. Mtandao wa soka wa Citi Sport umeripoti kuwa habari za kifo chake zimekuja baada ya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 28…

Read More

MAMBO MAGUMU KWA MBABE WA YANGA

MBABE wa Yanga anayekipiga ndani ya kikosi cha Azam FC, Suleiman Abdallah, (Sopu) mambo kwake ni magumu ndani ya msimu mpya wa 2023/24 kwa kukosa zali la kucheka na nyavu kama ambavyo alianza msimu uliopita. Mechi nne kapata zali la kuanza kikosi cha kwanza ndani ya Azam FC ambazo ni sawa na dakika 360 chini…

Read More