
NYOTA WA ZAMANI WA YANGA NA NAMUNGO USAJILI WAKE ACHA TU
MIONGONI mwa taarifa ambazo zilikuwa na sarakasi nyingi ni pamoja usajili wa nyota Mohamed Issa Banka kuibuka ndani ya Ruvu Shooting na kabla ya kuanza kucheza mkataba wake ukavunjwa. Banka ambaye amewahi kukipiga ndani ya kikosi cha Yanga, Namungo na Mtibwa Sugar alipaswa kuwa ndani ya kikosi cha Ruvu Shooting kwenye mzunguko wa pili katika…