SIMBA WAJIONGEZEA MZIGO KIMATAIFA, WAO WENYEWE SABABU

SIMBA imepoteza pointi tatu kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Wydad Casablanca ya Morocco ukiwa ni mchezo wao wa kwanza kupoteza msimu wa 2023/24 katika anga la kimataifa. Hakuna wakumlaumu kwa kilichotokea kutokana na kushindwa kutumia nafasi walizopata pamoja na kushindwa kukaba nafasi katika dakika za lala salama. Kazi ni nzito kwa wawakilishi…

Read More

FT: Machester United 0-3 Bournemouth

Baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya Chelsea Manchester United imeshindwa kuendeleza mwenendo mzuri na kukubali kichapo cha 3-0 nyumbani dhidi ya Bournemouth. FT: Machester United 0-3 Bournemouth ⚽️ 5’ Solanke ⚽️ 68’ Billing ⚽️ 73’ Senesi #FULLTIME Brighton 1-1Burnley Sheffield United1-0 Brentford Wolves 1-1Nottingham Forest Crystal Palace 1-2 Liverpool

Read More

VIWANJA VIBORESHWE LIGI IZIDI KUWA NA UBORA

KILA leo tunashuhudia ligi yenye ushindani mkubwa kwa kila timu kuwa na mpango wa kuvuna pointi tatu kwenye mchezo husika. Katika mwendo wa ligi ambayo ushindani wake ni mkubwa tunaona kila timu inapambana kusaka ushindi na wale wanaotumia makosa ya wapinzani wanapata kile wanachostahili. Ushindani umekuwa mkubwa na hali hii inatakiwa kuwa endelevu mpaka mwisho…

Read More

SIMBA:TUTAZIPATA POINTI TATU KWA NGUVU MUNGU

IKIWA ni saa chache zimebaki kabla ya wawakilishi wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba kutupa kete ya tatu kusaka pointi tatu dhidi ya Wydad Casblanca wameweka wazi kuwa kwa nguvu ya Mungu watazipata pointi tatu. Ipo wazi kwamba kwenye anga la kimataifa msimu wa 2023/24 mambo ni magumu kwa Simba katika mechi nne…

Read More

MATAJIRI WA DAR MOTO WAO SIO WAKITOTO

MATAJIRI wa Dar Azam FC moto wa ushindi hauzimi kutokana na kuendelea pale walipoishia Novemba kupata ushindi mbele ya wapinzani wao na kukomba pointi tatu. Ipo wazi kuwa ndani ya Novemba katika mechi tatu mfululizo, mbili ambazo ni dakika 180 walicheza ugenini na kete ya kufungia mwezi ikipigwa Azam Complex zote waliibuka na ushindi. Katika…

Read More

IHEFU WAKOMBA POINTI ZA TABORA UNITED

WAKIWA Uwanja wa Highland Estate Ihefu walikomba pointi zote tatu mazima kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tabora United. Katika mchezo huo uliokuwa na ushindani mkubwa mwamba Vedastus Mwihambi alipachika mabao yote kwa Ihefu ilikuwa dakika ya 40 na dakika ya 56. Kwenye mchezo huo uliochezwa Desemba 8 ni bao la Andy Bikoko lilikuwa…

Read More

YANGA YAVUNA POINTI MOJA UGENINI

KATIKA mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wawakilishi wa Tanzania, Yanga wakiwa ugenini wamevuna pointi moja. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Baba Yara Sports umesoma Medeama 1-1 Yanga ambapo mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza katika dakika 45 za mwanzo. Medeama walianza kupata bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 27 kupitia…

Read More

CHAMA KUKABIDHIWA WAARABU CAF

KUTOKANA na kasi aliyoanza nayo kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Jwaneng Galaxy akianzia benchi kunauwezekano mkubwa kiungo Clatous Chama akaanza kikosi cha kwanza. Chama alitimiza majukumu yake kwa umakini dakika 28 alizozitumia dhidi ya Jwaneng Galaxy alipochukua nafasi ya Willy Onana aliyeanza kikosi cha kwanza. Ikumbukwe kwamba huo ulikuwa ni mchezo…

Read More

;IGI YA MABINGWA AFRIKA: MEDEAMA 1-1 YANGA

MCHEZO wa Ligi ya Mabingwa Afrika dakika 45 ubao wa Uwanja wa Baba Yara Sports unasoma Medeama 1-1 Yanga ikiwa ni dakika 45 za mwanzo. Medeama walianza kupata bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 27 kupitia Kwa Jonathan likawekwa usawa na Pacome Zouzoua dakika ya 36. Ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua…

Read More

MAMBO NI MOTO WIKENDI HII SUKA JAMVI LAKO UPIGE MPUNGA!

Baada ya pilika pilika za wiki nzima sasa tumerejea kwenye jambo letu ambalo si lingine bali ni hili la kutengeneza jamvi lako ukiwa na Meridianbet ambalo litakufanya ukusanye mpunga wa maana na ukaifurahia siku yako vizuri kwani hakuna anayependa kukosa pesa. Ingia meridianbet na usuke mkeka wako. Na mimi nakupeleka moja moja kwenye ligi pendwa…

Read More

YANGA MATUMAINI MAKUBWA KIMATAIFA

UONGOZI wa Yanga umebainisha kuwa bado una nafasi ya kufanikisha malengo yao licha ya kuanza kwa kusasua kwenye mechi za mbili za hatua ya makundi, Ligi ya Mabingwa Afrika. Baada ya kukomba dakika 180 kibindoni ni pointi moja ilivunwa kutokana na sare ya kufungana bao 1-1 dhidi ya Al Ahly, mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa….

Read More