MATAJIRI 8 WAITANA YANGA FASTA
YANGA wanaonekana kuutaka mchezo wa Kariakoo Dabi, ni baada ya Kamati ya Mashindano ya timu hiyo, yenye watu nane imepanga kukutana leo Jumatano kwa ajili ya kuweka mikakati ya ushindi kuelekea mchezo huo. Dabi hiyo inatarajiwa kuzikutanisha timu hizo kongwe za Simba dhidi ya Yanga ambayo itapigwa Jumapili hii saa 11 jioni kwenye Uwanja wa…