Home International MANCHESTER UNITED YAMEWAKUTA TENA

MANCHESTER UNITED YAMEWAKUTA TENA

MANCHESTER United mkeka umechanika tena baada ya kupoteza dhidi ya Manchester City kwenye Dabi mbele ya Newcastle United wamepoteza tena.

Mwendo wa timu hiyo kwa sasa haupendezi ambapo mabosi wanatajwa kufikiria kuachana na Kocha Mkuu, Ten Hag ambaye alikuwa anapewa nafasi ya kufanya makubwa ndani ya kikosi hicho.

Uwanja wa Old Trafford umesoma Manchester United 0-3 Newcastle United baada ya dakika 90 kukamilika.

Joseph Willock alipachika bao moja dakika ya 61, Lewis Hall dakika ya 36 na Miguel Almiron dakika ya 27.

Previous articleNGOMA YA MASHUJAA IMEKUWA NZITO
Next articleWYDAD HAO FAINALI AFL