Home Sports NGOMA YA MASHUJAA IMEKUWA NZITO

NGOMA YA MASHUJAA IMEKUWA NZITO

MCHEZO wake wa kwanza langoni kipa namba mbili wa Azam FC Ali Ahmada kashuhudia wakikomba poiñti tatu ugenini na mabao matatu

Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Lake Tanganyika umesoma Mashujaa 0-3 Azam FC.

Kipre Junior dakika ya 52, Gibril Sillah dakika ya 70 na Allasane Diao alimtungua kwa kipa wa Mashujaa akitumia pasi ya Feisal Salum dakika ya 73.

Ni bao la kwanza pia kwa nyota Allassane mwili jumba ndani ya Azam FC kufunga kwenye ligi kwa msimu wa 2023/24 akiwa na matajiri hao wa Dar.

Pointi tatu kibindoni na mabao matatu ugenini kwenye mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa kwa timu zote Novemba Mosi 2023.

Previous articleKIVUMBI LIGI DARAJA TATU PWANI KINAKUJA
Next articleMANCHESTER UNITED YAMEWAKUTA TENA