
YANGA WABABE HAO FAINALI KIMATAIFA
NGOMA imesoma Gallants Marumo 1-2 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya nusu fainali ya pili Kombe la Shirikisho Afrika. Kazi kubwa imefanywa na wachezaji wote wa Yanga wakiongozwa na Nasreddine Nabi ambaye ni Kocha Mkuu. Ni Fiston Mayele alianza kupachika bao la kuongoza kwa Yanga dakika ya 44 kisha ngoma ikapachikwa na Kenned Musonda…