![YANGA YATINGA ROBO FAINALI,YALIPA KISASI](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2023/03/Mayele-kazi.jpg)
YANGA YATINGA ROBO FAINALI,YALIPA KISASI
YANGA imetinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 2-0 US Monastir ya Tunisia. Hiki ni kisasi ambacho wamekilipa Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwa kuwa mchezo waliokutana nao ugenini nao walitunguliwa mabao 0-2. Ngoma ilikuwa ni mwendo wa mojamoja kila kipindi ambapo Kenned Musonda alianza kupachika bao…