
SIMBA YAIBUKA NA USHINDI DHIDI YA VIPERS
LICHA ya ubao wa Uwanja wa Mkapa kusoma Simba 1-0 Vipers bado lile pira Dubai kwa Simba linasakwa kwa tabu sana na ubutu wa ushambuliaji ukiwa ni shida. Bao pekee la ushindi kwenye mchezo wa Ligi ya Mabingwa hatua ya makundi limefungwa na Clatous Chama katika dakika ya 45. Shukrani kwa Aishi Manula kwa kazi…