YANGA WAPENYA ROBO FAINALI
MABINGWA watetezi wa Kombe la Azan Sports Federation, Yanga wamepenya hatua ya robo fainali baada ya kupata ushindi leo Machi 3,2023. Uwanja wa Azam Complex umesoma Yanga 4-1 Tanzania Prisons ambapo mabao yote yamefungwa kipindi cha pili. Ni Bakari Mwamnyeto alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 51 kisha likawekwa usawa na Jeremiah Juma dakika ya…