AZAM FC,YANGA, SIMBA KUPAMBANA NA HAWA FA

KAMATI ya Mashindano ya Shirikisho la Soka nchini (TFF) ilitangaza ratiba ya hatua ya 16 bora ya michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC) maarufu kama FA. Simba ina kazi ya kusaka ushindi dhidi ya African Sports ya Tanga, Machi 2, Uwanja wa Mkapa, Yanga dhidi ya Tanzania Prisons Machi 3 Uwanja wa Mkapa. Geita…

Read More

MAYELE ANATOA SOMO LA BURE KWA WENGINE

FISTON Mayele ni mshambuliaji ambaye sio mwepesi kukata tamaa akiwa uwanjani, akikutana na makipa wenye mbwembwe huwa anawatazama kisha akishagundua tabia yao hapo anaongeza presha kwenye namna ya uokoaji na kutoa pasi. Amekuwa bora kwa misimu miwili mfululizo na kwenye mechi zote ambazo amecheza hajui ladha ya kuonyeshwa kadi ya njano ikiwa inamaanisha ana nidhamu…

Read More

AKILI KUBWA MZUNGUKO WA PILI MATUMIZI YA NGUVU NI MAUMIVU

MZUNGUKO wa pili huwa unakuwa na mambo mengi jambo ambalo huwafanya wachezaji wengi kutumia nguvu kubwa kusaka ushindi. Ukweli ni kwamba mechi za wakati huu ni lala salama kwa kuwa kitakachofuata ni maamuzi ya nini kitatokea kwa kile ambacho kimepandwa. Benchi la ufundi, uongozi pamoja na mashabiki muda wa kujipanga kwa makosa ya mzunguko uliopita ni sasa na itasaidia kuwa kwenye ushindani mzuri. Mashabiki na…

Read More

LIGI KUU TANZANIA BARA KUKIWASHA LEO

FEBRUARI 6,2023 Ligi Kuu Tanzania Bara inatarajiwa kuendelea leo kwa timu kusaka pointi tatu muhimu. Ni Polisi Tanzania watakuwa Uwanja wa Ushirika Moshi wakimenyana na Kagera Sugar ndani ya dakika 90. Polisi Tanzania imekusanya pointi 15 kibindoni baada ya kucheza mechi 21 huku Kagera Sugar wakiwa wamekusanya pointi 25 kibindoni. Mchezo huo unatarajiwa kuwa na…

Read More

MASHABIKI MOROCCO,PAMBO LA WORLD CUP

Saleh Ally, Rabat UTAMADUNI wa ushangiliaji katika soka uko tofauti karibu kila ukanda, na unaweza kutofautiana kwa bara moja zaidi ya sehemu nne au tano. Mfano angalia ushangiliaji wa soka la Tanzania, una tofauti kubwa sana na ushangiliaji wa soka la Kaskazini mwa Afrika katika nchi kama Misri au Morocco. Sifa kubwa ya ushangiliaji hapa…

Read More

ADRAR UWANJA BORA NDANI YA MTWARA YA MOROCCO

NA SALEH ALLY, AGADIR KAMA Morocco ingepata nafasi ya kuandaa Kombe la Dunia mwaka 2010, Uwanja wa Adrar ulipangwa kutumika kwenye moja ya michezo muhimu ya mtoano ya hatua ya robo fainali. Bahati mbaya kwa Morocco, nafasi hiyo ikaenda kwa Afrika Kusini na baada ya hapo, wakaamua kuendeleza taratibu ujenzi wa uwanja huo hadi ulipokamilika…

Read More

AZAM YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

DODOMA Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma. Bao pekee la Azam FC limefungwa na Ayoub Lyanga ambaye alipachika bao hilo dakika ya 60 na kumfanya afikishe mabao mawili kwenye ligi. Ni Muhsain alipachika bao dakika ya 27 na Collins Opare…

Read More

SIMBA WAJA NA MTOKO WA FAMILIA

BAADA ya ushindi wa mabao 3-1 waliopata dhidi ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara, kesho Simba wanatarajia kumenyana na Al Hilal. Mchezo huo ambao Simba watajitupa kesho Uwanja wa Mkapa ni wa kimataifa wa kirafiki ikiwa ni maandalizi ya mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya…

Read More