Home Sports AZAM YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

AZAM YAPOTEZA MBELE YA DODOMA JIJI

DODOMA Jiji wameibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Azam FC kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri,Dodoma.

Bao pekee la Azam FC limefungwa na Ayoub Lyanga ambaye alipachika bao hilo dakika ya 60 na kumfanya afikishe mabao mawili kwenye ligi.

Ni Muhsain alipachika bao dakika ya 27 na Collins Opare alipachika bao dakika ya 30 kwenye mchezo huo.

Ni Idrisu Abdulai kipa mpya wa Azam FC ameokota nyavuni mabao mawili na kushuhudia timu hiyo ikipoteza pointi tatu ugenini.

Previous articleYANGA YAWEKA REKODI MATATA IKIWATUNGUA NAMUNGO
Next articleROBERTINHO ACHUNGULIA MKATABA WA BRUNO,YANGA YACHIMBA MKWARA