Home Sports VIDEO:NABI:HATUKUCHEZA VIZURI LAKINI TUMEPATA POINTI TATU

VIDEO:NABI:HATUKUCHEZA VIZURI LAKINI TUMEPATA POINTI TATU

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa kwenye mchezo wao dhidi ya Namungo hawakucheza vizuri lakini walipata matokeo mazuri kutokana na kuwapa muda wachezaji wengine ambao walikuwa wanasumbuliwa na majeruhi

Previous articleEVERTON YAIVUTA SHATI ARSENAL LIGI KUU ENGLAND
Next articleADRAR UWANJA BORA NDANI YA MTWARA YA MOROCCO