
MWAMBA CLATOUS CHAMA AWATULIZA SIMBA
MWAMBA Clatous Chama awatuliza mashabiki Simba kimataifa
MWAMBA Clatous Chama awatuliza mashabiki Simba kimataifa
KAMPUNI ya mchezo ya kubashiri ya M-Bet Tanzania imewazawadia washindi wawili kila mmoja Sh175.3 millioni baada ya kubashiri kwa usahihi matokeo ya ligi mbalimbali duniani kupitia mchezo wa Perfect 12. Washindi hao ni Mesharam Bakunda na Abdallah Segatwa ambao walizawadiwa fedha zao katika hafla fupi iliyofanyika makao makuu ya kampuni ya M-BET Tanzania jijini Dar…
BAADA ya kukamilisha kete yao dhidi ya Simba Uwanja wa Mkapa, kituo kinachofuata ni dhidi ya KMC. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa ubao ulisoma Simba 1-1 Azam FC na kuwafanya wagawane pointi mojamoja. KMC wao wametoka kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Ubao ulisoma Yanga 1-0 KMC hivyo…
UONGOZI wa Dodoma Jiji umeweka wazi kuwa baada ya kupoteza mchezo wao wa ligi dhidi ya Mtibwa Sugar hasira zao wanazihamishia kwa Ihefu . Kwenye mchezo waliokuwa Uwanja wa Manungu walipoteza kwa kufungwa mabao 2-1. Leo Februari 24,2023 Dodoma Jiji wana kazi ya kusaka pointi tatu muhimu dhidi ya Ihefu ya Mbeya. Mchezo huo unatarajiwa…
Manchester United wamepindua meza dhidi ya Barcelona na ubao ulisoma Manchester United 2-1 Barcelona. Ni katika mchezo wa Europa League uliochezwa Uwanja wa Old Trafford. Robert Lewandowski alianza kupachika bao kwa mkwaju wa penalti dakika ya 18 ngoma iliwekwa Sawa na Fred dakika ya 47. Msumari wa pili kwa Manchester United ulijazwa kimiani na Antony…
Meridianbet hatimaye imewatangaza washindi wake wa Promosheni kabambe ya Bashiri bila bando na kasino, Huku Said akijinyakulia Bodaboda yake mpyaa. Piga *149*10# Chagua Tukupe Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette– Chagua Tukupe. Mkuu wa Kitengo cha Masoko na Mawasiliano wa Meridianbet Martina Nkurlu alishiriki zoezi la kuwakabidhi…
KMC wabainisha kuwa wanapita kipindi cha mpiro, tamaa hawajakata
MSAFARA wa Yanga ndani ya Mali kwa ajili ya mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unaotarajiwa kuchezwa Februari 26. Kikosi hicho kilikwea pipa na Shirika la Ndege la Ethiopia tayari kwa ajili ya kuwavaa Real Bamako. Yanga ina pointi tatu kibindoni baada ya kupata ushindi kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe na ilitunguliwa mchezo wa…
WAARABU waibeba Yanga Mali, Phiri avalishwa mabomu awalipue Vipers ndani ya Championi Ijumaa
Mkazi wa Musoma, Mara Mwaliki Maregeli Nyangasi ameshinda kitita cha Sh 6,776,051 kama Jackpot bonus ya kati kati ya wiki baada ya kupatia kwa usahihi mechi 12 kati ya mechi 13 za Jackpot zilizochezwa wiki iliyopita. Akizungumza katika ofisi za SportPesa, Oysterbay,Dar-Es-Salaam, Mwaliki anasema alianza kucheza na SportPesa 2017, baada ya kusikia na kuona kwenye…