KUPATWA KWA PIRA DUBAI UWANJA WA MKAPA

DAKIKA 90 zilikuwa za kazi huku pira Dubai likionekana kupatwa tabu mbele ya Mbeya City ambao walionesha ushindani wakitaka kusepa na pointi. Dakika tatu ziliwatosha Mbeya City kusawazisha bao la Ntibanzokiza dakika ya 10 kupitia kwa Richardson Ngo’dya ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba. Kipindi cha pili Simba ilipata bao lililoonekana kulalamikiwa na wachezaji…

Read More

UJUZI WA MBRAZIL KUONEKANA LEO KWA MKAPA

MASHABIKI wa Simba leo Januari 18,2023 wanatarajia kuona ujuzi wa Kocha Mkuu, Roberto Oliviera ambaye anashikirikiana na mzawa Juma Mgunda.. Mchezo wa leo ni dhidi ya Mbeya City inayotumia Uwanja wa Sokoine kwenye mechi za nyumbani. Ikumbukwe kwamba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Sokoine walitoshana nguvu kwa kufungana bao 1-1. Katika…

Read More

IHEFU YATAMBULISHA MAJEMBE MAWILI MAPYA KUTOKA MSIMBAZI

NYOTA Nelson Okwa ambaye ni mali ya Simba kaibuka ndani ya kikosi cha Ihefu chenye maskani yake Mbeya, nyanda za juu Kusini. Hakuwa na msimu mzuri ndani ya Simba ingizo hilo jipya kutokana na kushindwa kuonyesha makeke uwanjani. Sababu kubwa ya kukwama kufanya vizuri ni kusumbuliwa na majeraha ambapo alitumia muda mwingi kupambania hali yake…

Read More

JEMBE JIPYA YANGA LAANZA MAZOEZI

BAADA ya kukamilisha usajili wake ndani ya kikosi cha Yanga, hatimaye kipa namba mbili wa timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi ameanza mazoezi. Ni Metacha Mnata ambaye alikuwa anakipga ndani ya Singida Big Stars iliyogotea nafasi ya pili hatua ya fainali kwenye Kombe la Mapinduzi 2023. Kwenye mchezo huo uliochezwa Januari 13, Mnata…

Read More

SIMBA WAREJEA KUAANZA NA MBEYA CITY KWA MKAPA

“TUMEREJEA kutoka kambi ambayo imekuwa na manufaa makubwa na kazi inaendelea kwenye mechi za Ligi Kuu Bara na Ligi ya Mabingwa Afrika,” maneno ya Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya Simba, Ahmed Ally. Leo Januari 17,2023 kikosi hicho kimerejea kutoka Dubai ambapo kiliweka kambi kwa muda chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera…

Read More

SIKU MBAYA KAZINI KWA IHEFU

SIKU mbaya kazini kwa mastaa wote wa Ihefu pamoja na benchi la ufundi baada ya mbinu zao zote kufeli mbele ya Yanga ndani ya dakika 90. Benchi la ufundi likiwa limewaanzisha washambuliaji wake Obrey Chirwa na Adam Adam ambaye ni ingizo jipya kutoka Mtibwa Sugar walishuhudia dakika 90 zikayeyuka bila shuti lililolenga lango. Kipa Diarra…

Read More

MUDHATHIR MCHEZO WAKE WA KWANZA KATEMBEZA MIKATO

ALIWATEMBEZEA mikato Ihefu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara Januari 16,2023 mpaka mwamuzi akaonekana kumwambia hili ni onyo la mwisho ukizingua adhabu inakuhusu. Ni Mudhathir Yahya kwenye kiwango kizuri dhidi ya Ihefu ambao walikuwa wanajilinda muda wote na mwisho wakapoteza kwa kufungwa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Fiston Mayele. Kiungo huyo mkabaji alikuwa akicheza kwa…

Read More

UBORA WA WACHEZAJI WAIPONZA TANZANIA PRISONS

“TATIZO ni ubora wa wachezaji kwa wapinzani wetu jambo ambalo limetugharimu, ” maneno ya Kocha Mkuu wa Tanzania Prisons, Patrick Odhiambo baada ya ubao wa Uwanja wa Azam Complex kusoma Azam FC 3-0 Prisons. Mchezo huo wa ligi ulitawaliwa na tambo za kutosha kwa pande zote mbili zikiweka wazi kwamba ni pointi tatu wanahitaji na…

Read More