>

AZAM FC KUKIPIGA NA AL HILAL AZAM COMPLEX

AZAM FC inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, ina kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hila. Mchezo huo wa kimataufa unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo kwa sasa imeweka kambi Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kimataifa. Mbali na Azam FC pia Al Hilal itacheza na…

Read More

YANGA 5-0 RHINO RANGERS

UWANJA wa Mkapa dakika 45 za mwanzo ubao unasoma Yanga 5-0 Rhino Rangers. Ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora ambapo mshindi atatinga hatua ya 16 bora na Yanga ni mabingwa watetezi. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwaDickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI…

Read More

TRY AGAIN: SIMBA HATUTAKUWA WANYONGE TENA, FURAHA INARUDI

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Salim Abdallah, ‘Tryagain’ amesema kuwa kwa namna ambavyo timu hiyo imejipanga hawatakuwa wanyonge tena bali furaha itakuwa ni mwendelezo. Hayo ameyasema leo kwenye mkutano wa Simba ambao una ajenda 13 ikiwa ni pamoja na ile ya uchaguz mkuu unaotarajiwa kufanyika leo Januari 29,2023. Kiongozi huyo amesema:-“Nawashukuru wanachama…

Read More

HAWA HAPA WANAWANIA NAFASI SIMBA, LEO NI LEO

LEO Jumapili Klabu ya Sima inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo suala la uchaguzimkuu wa kuchagua mwenyekiti na wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi. Katika uchaguzi huo wanaowania nafasi ya mwenyekiti ni Murtanza Mangungu anayetetea kiti chake na Moses Kaluwa. Wajumbe ni Seif Ramadhan Muba, Seleman Harub Said,Iddi Halifa Kitete,Issa Masoud Iddi,Abubabakar Zebo,Abdallah…

Read More

KUMUONA MAYELE, FARID MUSSA NI BUKU TANO

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Yanga chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi leo Januari 29,2023 wana kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu. Yanga inatarajiwa kumenyana na Rhino Rangers FC ambao nao wameweka wazi kuwa wanahitaji ushindi ili kutinga raundi ya 16 bora. Tayari wapinzani wao wakubwa ambao ni Simba, Singida…

Read More

SIMBA YATINGA 26 BORA MBELE YA COASTAL UNION

MIKATO yake anayotembeza kimyakimya ndani ya uwanja leo Sadio Kanoute kaihamishia kwa mlinda mlango wa Coastal Union. Ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Simba 1-0 Coastal Union dakika ya 56 akiwa nje ya 18 na kuwanyanyua mashabiki wa Simba kwenye mchezo huo. Coastal Union walicheza kwa kujilinda muda mwingi jambo lililowapa ugumu Simba iliyomtumia Jean…

Read More

KMC YATINGA 16 BORA KOMBE LA SHIRIKISHO

NYOTA wa KMC, Emmanuel Mvuyekule mshuti wake akiwa nje ya 18 umewapa faida mashabiki wa timu hiyo na kunyanyuka kwenye viti. Ni kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho raundi ya tatu ambapo ubao wa Uwanja wa Uhuru umesomaKMC 1-0 COPCO. Bao hilo lilipachikwa dakika tano zikiwa zimesalia kugota dakika ya 90 baada ya dakika 84…

Read More

KOMBE LA FA SIMBA 0-0 COASTAL UNION

BONGE moja ya mchezo wa hatua ya raundi ya tatu Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-0 Coastal Union. Timu zote mbili zina kazi ya kusaka ushindi huku Coastal Union wakionekana kuwa imara kwenye kuziba njia zote za Simba kusaka ushindi wao wakifanya mashambulizi ya kushtukiza. Nyota mpya wa Simba, Ismail Sawadogo ameonyeshwa kadi ya njano…

Read More

BALOTEL AINGIA ANGA ZA MPAPPE

2022 ulikuwa mwaka mzuri kwa ulimwengu wa soka. Ni mwaka uliojaa aina ya mabao ya ajabu na ni wakati wa kuangalia malengo haya na kuchagua bora zaidi ya kura. Wateule wa Tuzo za Puskas 2022 wametangazwa na inaangazia baadhi ya wale ambao walifanya vizuri kwenye utupiaji wa mabao. Tuzo ya Puskas ni sehemu ya mfululizo…

Read More

HIZI HAPA ZIMETINGA 16 BORA

KOMBE la Shirikisho Azam Sports Federation limezidi kuunguruma ambapo leo kuna mechi zitachezwa kusaka zile ztakazoshinda kutinga hatua ya 16 ora. Miongoni mwa mechi ambazo zinatarajiwa kuchezwa leo ni pamoja na Simba dhidi ya Coastal Union, Uwanja wa Mkapa. Kwa mechi ambazo zilichezwa jana, Januari 27, matajiri wa Dar, Azam FC walishusha kichapo kwa Dodoma…

Read More