BONGE moja ya mchezo wa hatua ya raundi ya tatu Uwanja wa Mkapa ukisoma Simba 0-0 Coastal Union.
Timu zote mbili zina kazi ya kusaka ushindi huku Coastal Union wakionekana kuwa imara kwenye kuziba njia zote za Simba kusaka ushindi wao wakifanya mashambulizi ya kushtukiza.
Nyota mpya wa Simba, Ismail Sawadogo ameonyeshwa kadi ya njano ikiwa ni ya kwanza kwenye mchezo wa leo ambapo mmoja lazima atunguliwe aondolewe kwenye mashindano haya.
Mshindi atatinga raundi ya 16 kusaka taji hilo lililo mikononi mwa Yanga.
Soccer Football - Premier League - Tottenham Hotspur v Aston Villa - Tottenham Hotspur Stadium, London, Britain - November 26, 2023 Aston Villa's Ollie Watkins in action with Tottenham Hotspur's Emerson Royal REUTERS/Dylan Martinez