MUSONDA NI KIJANI NA NJANO

RASMI uongozi wa Yanga umemtambulisha nyota mpya ndani ya kikosi hicho Kennedy Musonda raia wa Zambia kuwa mali ya timu hiyo. Mshambuliaji huyo anaungana na timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kwa ajili ya kupambania malengo ya timu hiyo. Anatajwa kupewa dili la miaka miwili kwa ajili ya kutimiza majukumu ya Yanga ambayo…

Read More

SIMBA YAPOTEZA DUBAI

 KIKOSI cha Simba leo Januari 13,2023 kimeambulia kichapo cha bao 1-0. Ni katika mchezo wa kirafiki ambapo wamepoteza dhidi ya Klabu ya Al Dhafra FC baada ya dakika 90. Kikosi cha Kwanza Cha Kocha Mkuu Robert Oliviera langoni alianza Aishi Manula Kwa upande wa ulinzi ni Shomari Kapombe,Joash Onyango, Kennedy Juma. Viungo ilikuwa ni Jonas…

Read More

32 BORA SIMBA, YANGA NA AZAM WAWAJUA WAPINZANI WAO

TAYARI timu ambazo zimetinga hatua ya 32 bora zimewajua wapinzani wao kwenye Kombe la Azam Sports Federation. Simba SC itacheza dhidi ya Coastal Union, Yanga SC itacheza dhidi ya Rhino Rangers, Azam FC itakipiga dhidi ya Dodoma Jiji. Singida Big Stars wao watamenyana na Ruvu Shooting, Kagera Sugar v Ken Gold, Geita Gold v Nzega…

Read More

MNYAMA KUSHUSHA CHUMA KINGINE

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa bado haujamaliza usajili na kabla ya dirisha dogo kufungwa watashusha chuma cha kazi kwa ajili ya kuboresha kikosi hicho. Simba kwa sasa ipo Dubai kwa ajili ya kambi ambayo itatumia siku 7 ikiwa ni mualiko maalumu kutoka kwa Rais wa heshima wa timu hiyo Mohamed Dewji, ‘Mo’.  Ahmed Ally,…

Read More

NYOTA KIBU AMKOSHA KOCHA MPYA SIMBA

ROBERT Oliviera Kocha Mkuu wa Simba amekoshwa na maufundi ya mshambuliaji wa timu hiyo Kibu Dennis. Katika mazoezi yaliyofanyika jana Januari 11, raia huyo wa Brazil alimchangua Kibu kuwa mchezaji bora wa siku hiyo na kumpa zawa. Kibu alikabidhiwa zawadi hiyo mbele ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na nahodha John Bocco mwenye mabao 9 ndani…

Read More

YANGA YAIVUTIA KASI IHEFU

BAADA ya kuenguliwa kwenye Kombe la Mapinduzi kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufugana dhidi ya Singida Big Stars kikosi cha Yanga kimeanza maandalizi kuikabili Ihefu. Mchezo huo ni wa Ligi Kuu Bara unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa, Jumatatu ya wiki ijayo. Ihefu ambayo mchezo wa mzunguko wa kwanza iliwatungua Yanga mabao 2-1 itakabiliana…

Read More

SINGIDA BIG STARS WANAIFIKIRIA FAINALI

SINGIDA Big Stars hesabu zao kwa sasa ni fainali ya Kombe la Mapinduzi, Januari 13,2023 dhidi ya Mlandege. Timu hiyo inayonlewa na Kocha Mkuu, Hans Pluijm imetinga hatua hiyo kwa kuichapa mabao 4-1 Azam FC. Mtupiaji wa mabao yote ya Singida Big Stars ni Francy Kazadi ambaye kibindoni anafikisha mabao matano na lile la Azam…

Read More

SIMBA YAINGIA ANGA ZA TP MAZEMBE

KATIKA kuimarisha safu ya ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba Zemanga Soze anatajwa kuwa katika hesabu za timu hiyo. Ngoma nzito inatajwa kuwa kwenye dau ambalo linatakiwa ili kupata saini yake. TP Mazemba anakokipiga Kwa sasa wanatajwa kuhitaji dau refu kumuuza mchezaji huyo. Kikosi cha Simba kwa sasa kipo Dubai ambapo kimeweka kambi wa ajili…

Read More

LILE BEKI LA KAZI YANGA HILI HAPA

YANGA ipo kwenye hatua za mwisho kukamilisha dili la beki wa kati kutoka Mali ili kujiunga na timu hiyo kwenye dirisha hili dogo. Ni beki wa kati raia wa Mali Mamhadou Doumbia umri wake ni miaka 27. Doumbia moja kati ya mabeki bora ambao wamekuwa wakiitwa katika kikosi cha Mali kinachoshiriki mashindano ya CHAN akiwa…

Read More

CHUMA KIPYA CHATAMBULISHWA IHEFU FC

ADAM Adam nyota wa zamani wa kikosi cha JKT Tanzania kwa sasa atakuwa ni mali ya Klabu ya Ihefu. Nyota huyo anaibukia ndani ya Ihefu FC akitokea kikosi cha Mtibwa Sugar chenye maskani yake pale Morogoro. Leo Januari 11,2023 Ihefu wamemtambulisha rasmi mshambuliaji huyo. Ni moja ya washambuliaji wazawa wenye uwezo mkubwa uwanjani na alikuwa…

Read More

CHAMA NDANI YA SIMBA DUBAI

CLATOUS Chama mwamba wa Lusaka amejiunga na kikosi cha Simba kambini Dubai leo Januari 11,2023. Kiungo huyo hakuwa na timu hiyo kwenye msafara wa awali kutoka Dar kwenda Dubai kwa kuwa alikuwa nyumbani kwao Zambia. Timu hiyo ipo chini ya Kocha Mkuu, Robert Oliviera raia wa Brazil ambaye anashirikiana na Juma Mgunda ambaye ni mzawa….

Read More

YANGA:TUNASHUSHA BEKI WA KAZI NA MSHAMBULIAJI

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kwenye dirisha dogo la usajili wanashusha wachezaji wawili wa kazi kwa ajili ya timu hiyo kuboresha kikosi chao. Ni Nasreddine Nabi anakinoa kikosi hicho ambacho kinaongoza ligi kikiwa na pointi 50 kibindoni na mtupiaji wao namba moja ni Fiston Mayele mwenye maao 14. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga…

Read More