MCAMEROON ABOUBAKAR KUVUNJIWA MKATANA KISA CR 7

KLABU ya Al Nassr ya Saudi Arabia imeripotiwa kusitisha mkataba wa mshambuliaji wake raia wa Cameroon Vincent Aboubakar ili kumsajili Cristiano Ronaldo, kulingana na Daily Mail. Mshambuliaji huyo ataondoka katika klabu hiyo kutokana na sheria ya Ligi ya Saudia inayosema kuwa klabu inaweza kusajili hadi wachezaji 8 wa kigeni.  Ili kumjumuisha Ronaldo kwenye kikosi, klabu…

Read More

MBRAZIL WA SIMBA AMEANZA TAMBO

KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliviera raia wa Brazil ameweka wazi kuwa kwa namna ambavyo ameanza kazi na wachezaji wa timu hiyo amefurahishwa na uwezo wao. Kocha huyo raia wa Brazil amepewa mikoba ya Zoran Maki aliyevunja mkataba na timu hiyo mwanzoni mwa msimu wa 2022/23. Nchini Dubai Simba imeweka kambi yake ambayo itachukua siku…

Read More

FOBA AJIFUNZE ILI AKOMAE

KIJANA mdogo kafanya makosa ya kitoto dakika ya 27 mbele ya Singida Big Stars kwenye mchezo wa kuwania nafasi ya kutinga hatua ya fainali ya Kombe la Mapinduzi 2023. Zuber Foba mpira aliorejeshewa na beki wake alikuwa na chaguo la kumpelekea Bruce Kangwa ambaye alikuwa kwenye eneo sahihi. Alikuwa anapewa maelekezo pia na mchezaji mwenzake…

Read More

MUDATHIR AAHIDI MAPAMBANO YANGA

KIUNGO mpya wa Yanga, Mudathir Yahya, ameweka wazi kuwa kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi, kina wachezaji wazuri jambo linalomfanya azidi kupambana. Ingizo hilo jipya ndani ya Yanga, mchezo wake wa kwanza kucheza ilikuwa dhidi ya KMKM katika Kombe la Mapinduzi 2023 ambapo aliingia dakika ya 77 kuchukua nafasi ya Clement Mzize. Kwenye…

Read More